Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Wanasema wanamuonea wivu anamaisha mazuri. Lol

Wanamuonea wivu kuishi Us au kuolewa na mzungu? ? Au ni le bilionea, ,,halaf kumbe Mange anatembelea gari ya mume wake ye hana hhhhhaaa insta chibokooo
 
Wanamuonea wivu kuishi Us au kuolewa na mzungu? ? Au ni le bilionea, ,,halaf kumbe Mange anatembelea gari ya mume wake ye hana hhhhhaaa insta chibokooo

kuna umbea kule hatariii
yani ile picha ya wao na watoto wao dahh
 
Akaroge, atafute wadau maarufu pia awenauwezo kidogo tu hapa ndiyo Tanzania hakuna kinachoshindikana ila mm simjui mangoooo???
 
mwenyewe niliwaza hvyoo ila dah wazungu nyokyyyyyoooooo

Basi angerudi kwa nyuma kidogo sasa unampa mgongo jamani yaan inaonyesha ubaguzi kwelii,,,,,halaf kuna picha niliiona ya bhoke na baba yake na wadogo zake kule Uk bhoke ana furaha kweliii,,,lakini akiwa kwenye picha za Us anaonekana hana raha
Mi nampenda bhoke pamoja na ubaboon wake
 
Akaroge, atafute wadau maarufu pia awenauwezo kidogo tu hapa ndiyo Tanzania hakuna kinachoshindikana ila mm simjui mangoooo???

Si kila mtu lazima umfahamu wengine inabidi wakupite tu
 
Aisee magazeti kwa blog yake saivi daily bidada hilo tatizo alilonalo litakuwa fungua mwaka manake inaonekana anaumia sana. Sijui kaachwaa!manake kapanick kamchamba mbuta nanga page tano eti hana driving licence...jamani driving licence nancho ni kitu cha kusema umemchamba mtu sasa..sasa hao wafuasi wake wanamsifia eti mange ni mwisho anachamba kwa fact hadi nimeona huruma yani wanashindwa kumshauri atulie apate suluhisho la kinachomtatiza au wale marafiki zake waende kumsaidia mweeeeeee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…