Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kumbe Zari naye bilionea?
zari ahamie arusha jiji la mabilionea na wafanya biashara maarufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Zari naye bilionea?
zari ahamie arusha jiji la mabilionea na wafanya biashara maarufu.
Kumbe Zari naye bilionea?
Mange?? ni msanii mpya au???
Wanasema wanamuonea wivu anamaisha mazuri. Lol
Simjuiii mimi au clouds fm hawajampigia promo zile za ali kibaaa???
Wanamuonea wivu kuishi Us au kuolewa na mzungu? ? Au ni le bilionea, ,,halaf kumbe Mange anatembelea gari ya mume wake ye hana hhhhhaaa insta chibokooo
hahasaaaaaa pachafuuu
Insta kuna mambo,,hebu angalia my ushuzi hapo mbona ile sauti haipo siku sauti yake kama chura kakosa maji siku moja
kuna umbea kule hatariii
yani ile picha ya wao na watoto wao dahh
hahahaaa mi siangaliagi dina ujue huo ushuzi
Ila ile picha mmewe alikoseaaa angekuwepo kenzo upande wake angeweka mkono vileee!!!
mwenyewe niliwaza hvyoo ila dah wazungu nyokyyyyyoooooo
mwenyewe niliwaza hvyoo ila dah wazungu nyokyyyyyoooooo
Akaroge, atafute wadau maarufu pia awenauwezo kidogo tu hapa ndiyo Tanzania hakuna kinachoshindikana ila mm simjui mangoooo???