Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

mi sijaona jipya ktk yote pale kashayazungumza hasa ya linda toka mwaka juzi alishayasemaga na wamefanya makusudi kumpanikisha kumbe inauma kuandikwa ye anamuandika zari kila siku
sijui kamkosea nini ama kweli yule dada hana faraja namuone ht huruma
 

yani we acha tu yule lance sio kabisa
mi siezi mchukia bhoke hajanikosea na yule ni mtoto tu kwa kweli hana makosa
 
Jamani,Mange the mental case,kashusha magazeti ya hatariiiii kule u-turn,this time ni dhidi ya Linda,Flora na rachel temu!!dah!what a sad life!!

Nimeenda kucheki aisee amepaniki.
Sikutegemea kama Mange anaweza kupoteza Muda wake kumuandikiq gazeti Mbuta.
Alisemaga eti hana hadhi yakugombana na Sintah sasa kweli ndo kashuka hadi level za Mbuta.
 

Nimeona aisee kwa kweli nimemuonea huruma maskini sijui kama anapataje usingizi maana mmh yaani ameandika nitaenda kumalizia lile gazeti badae nimeshindwa kulimaliza.
 
Last edited by a moderator:
Ila wamemchokoza wenyewe kama wanataka kutukana wangemtukana mange kama mange sasa wanawaingiza watoto siyo vizuri watoto wanauma


Hata mimi hiyo yakutukana watoto inaniumiza.Halafu ka Bhoke kacute kweli nikiona anatukanwa roho inaniuma.
 

Yaani umeongea bonge la point.
 

Kuchamba anqchamba ndio ila mi naona kamq hata haisaidii kitu maana hao kina linda naona wameshakua sugu na huwa wanamiss vichambo vya Mange.Linda huwa anatulia siku mbili tatu then anaibuka tena.lol.
Yaani mi naona hawa kutukana na kuandikiana magazet mitandaoni kutaisha siku wamezeeka vidole vimekakamaa haviwez kutype tena.
 

Narcisstic bordeline personality disorder .USA wanapewa dawa .
 

Mange Mara anajifanya victim,Mara Ana create crisis ,kutwaaa.madai Yake hajichanganyi na wa bongo .angejichanganya ingekuaje?hapa USA every second minutes counts yeye mitandaoni tuuuu.Muda gani anacheza na watoto ,homework .activities za watoto shuleni anakwenda kweli?
 

mambo yenyewe yaleyale tushayazoea mi sijaona jipya kwa mange hata moja zaidi ya kumuonea huruma tu maana wenzie wale na wehu wao mama zao wako nao na ht km wamekufa wanawakumbuka ye kwanza aclear kwa mama ake ndo aje upya
 
yani we acha tu yule lance sio kabisa
mi siezi mchukia bhoke hajanikosea na yule ni mtoto tu kwa kweli hana makosa

Ila bhoke hana raha huyo mtoto sijui kanaumwa sijui baba wa kambo anamkosesha rahaaa,sijui ashajua anavyotukanwa mtandaon kupitia mama yake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…