Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Aisee magazeti kwa blog yake saivi daily bidada hilo tatizo alilonalo litakuwa fungua mwaka manake inaonekana anaumia sana. Sijui kaachwaa!manake kapanick kamchamba mbuta nanga page tano eti hana driving licence...jamani driving licence nancho ni kitu cha kusema umemchamba mtu sasa..sasa hao wafuasi wake wanamsifia eti mange ni mwisho anachamba kwa fact hadi nimeona huruma yani wanashindwa kumshauri atulie apate suluhisho la kinachomtatiza au wale marafiki zake waende kumsaidia mweeeeeee
mi sijaona jipya ktk yote pale kashayazungumza hasa ya linda toka mwaka juzi alishayasemaga na wamefanya makusudi kumpanikisha kumbe inauma kuandikwa ye anamuandika zari kila siku
sijui kamkosea nini ama kweli yule dada hana faraja namuone ht huruma