Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Halaf et anampenda kweli Nyani ngabu huyo ni pilipili kichaa alietuchamba sieee, pumbavu zKe
hwhahawaaaaaaa hio sikuiona ujue siku hyo anasema genivro mi sku hz sikuchambi maana nshamdiss mtaa wa pili
mwehu yule
 
Hahahaaa kweli tena, nakuruhusu na wewe hebu muwazie kidogo yule kichuna wa kizaramo ndo anafanya yake, yani pale passport tuuu....Mungu fundi Wallahi...

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup: ni shhhhhhidah
afu ndo umegombana nae mzuri vile humpati kwa loloteee
 
Insta kushakucha, Linda kaonyesha passport yake....watu wanataka aifungue
Ha ha ha!mange kaandika gazeti lingine kaweka na contacts za mme wa Linda yani kale kamwanamke kanasema kapo young ten years kuliko Linda na Zari...ghoooosh she looks older!!
 
Ha ha ha!mange kaandika gazeti lingine kaweka na contacts za mme wa Linda yani kale kamwanamke kanasema kapo young ten years kuliko Linda na Zari...ghoooosh she looks older!!

Mange banaaaaaaaaa wanamsema miguu yake kama miguu ya farasi
 
Mange banaaaaaaaaa wanamsema miguu yake kama miguu ya farasi

Spokooooo!!kama kasimamia miguuu!!Linda mkareee wala hapanic mange kasema linda kapanic walaaa anachukulia kama starehe tuu!Mange amefrustrate eti anasema muite na shoga yako aje asome mfyuuuu hana jipya kabisaaa!!
 
Linda hua hanuniii wala kupanik anaepaniki ni Mange hhhhhh shoga yake naniiii/?aje
 
Ndo mana Mange anapagawaaa....
 
Ha ha ha!mange kaandika gazeti lingine kaweka na contacts za mme wa Linda yani kale kamwanamke kanasema kapo young ten years kuliko Linda na Zari...ghoooosh she looks older!!

Kakomaaa huyo, miguu kama anatembelea mikono, nilikuwaga nampendaaa lakini nimemkinai...

Ana roho Mbaya Sanaa....
 
Ha ha ha!mange kaandika gazeti lingine kaweka na contacts za mme wa Linda yani kale kamwanamke kanasema kapo young ten years kuliko Linda na Zari...ghoooosh she looks older!!

Kwahiyo She Is 24 manake zari Is 35 Huyu Mange ni mental Case kwanini anagombana na kila mtu sasa zari kamkosea nini?
 
Kwahiyo She Is 24 manake zari Is 35 Huyu Mange ni mental Case kwanini anagombana na kila mtu sasa zari kamkosea nini?

Kashushuliwa hasira kahamishia kwa Linda, Zari sio size yake kabisaaa, kamchokoa weeee mdada wa watu kimyaaaa....chezea Waganda kwa dharauu...sasa karudi kwa Linda anamuandikia magazeti na kujijibu mwenyewe....

Ana kichaa yule Dada....halafu anamuita Mbuta nanga baboon wakati Huyo mwanae sasaa....lol
 
wema ana huo mda hivi mange anampenda wema
wala hampeni ila anajua wema ana team kubwa akisema amponde itakula kwake ndo maana anajifanya kumsifia sifia ila sie watu wazima tunajua lengo lake sana

HiYo Team ya wema Wapo watu wa Aina Gani?
 
Hähähä hähähä mkopo kwa biashara Gani jamani? Ukishindwa kulipa wanakunyang'anya kila kitu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…