Chagabarbie hana mtoto na anaishi minesota sijui. Linda yes ana watoto anaishi atlanta...gharama za kuishi atlanta na california ni vitu viwili tofauti sanaaaaaaa....yeye mange kaja juu anataka kuonesha wafuasi mambo mazuri. Mpaka leo hii huo mjengo wa beverly hills haoneshi kazi kupiga picha akiwa out tuu sio nyumbani kwake. Navyojua mimi kuown nyumba california ni shiiiida. Sio tuu morgage kuna taxes sasa ukiishi na matajiri ujue utalipa property na school taxes za kitajiri ndo maana kina linda na chaga wamenawiri, hawajakurupukia maisha ya marekani washayazoea wameshakaa siku nyingi wako kwa system sio mange alipata solicitation ya credit card ya american express akaipiga picha akaibandika kwa blog akasema eti makampuni makubwa yanamtafuta yampe mkopo hapo ndo nilipojua kumbe badooo sana manake hizo solicitations hata paka wangu anapata 4 kwa wiki