Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
inasemekana ni enzi zake akiwa anabeba sembe kajikoki hapo

Sikudhani kama na wewe unaweza kuwa ignorant kiasi hiki.

Je enzi hizo camera zilikuwa hazipigi picha mwili mzima.

Na nikikwambia hii ni stoo ya Matola utaamini?

Hivi viteam mavimavi vinawaharibu sana Ubongo.
 

Attachments

  • 1422100419491.jpg
    29.8 KB · Views: 262
Sikudhani kama na wewe unaweza kuwa ignorant kiasi hiki.

Je enzi hizo camera zilikuwa hazipigi picha mwili mzima.

Na nikikwambia hii ni stoo ya Matola utaamini?

Hivi viteam mavimavi vinawaharibu sana Ubongo.




mi nimeshare picha kwa hisani ya u turn

jibu kwa hoja
 
Misd neddy,this is too low for you,bora ungeingia na ID nyingine...lol

Nimeshare hizo picha kama zilivyo sijazitengeneza mimi na wala si sapoti that's why nikasema mange ana dhambi mi sinaga id mbili mbili
 
Mbaya zaidi ameshakufa, mtu anaishi nyumba ya vioo halafu kutwa kuwachokoza vichaa sijui huwa anategemea nini!

Yaan sifa mbayaaa aibuuuu na hawezagi kunyamazaaaa
 
Huwa najiuliza kama Mzee Kimambi asingekuwa bwana mapesa sijui huyu mwanamke angekuwaje? Yaani ni full mswahili.

Ni sheeda et anataka akamchomee Linda arudi bongo hhhhhaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…