Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hata kama ni kweli haoni kama anawaharibia Watanzania mpaka wengine wananyimwa Viza kwa ajili ya wassenge kama yeye?

Wazungu wala hawana shida kama wewe siyo criminal kumchongea mtu sana sana wanakusanifu tu na wanaweza kukupa ndizi kabisa.

Hhhhaa tunasubiri mwisho wakeeeee
 
Hata kama ni kweli haoni kama anawaharibia Watanzania mpaka wengine wananyimwa Viza kwa ajili ya wassenge kama yeye?

Wazungu wala hawana shida kama wewe siyo criminal kumchongea mtu sana sana wanakusanifu tu na wanaweza kukupa ndizi kabisa.

Yule anastahili ndizi kabisaaa, hajamaliza stages za evolution ndo mana kazaa kale kababoon.....Ashukuru mkorogo unamsitiri...
 
Obama executive order Linda Ana watoto USA citizen hawezi rudishwa na mange ataishia pabaya

Kwanza naomba kuuliza mtu ambaye hana paper anaweza kuingia na kutoka Marekani atakavyo?

Mdogo wake wakati anashiriki BBA Linda alikwenda South Africa akitokea Marekani wakarudi wote na Richard Bongo.

Mwaka jana Linda amekwenda Italy, Spain, France na UK na akarudi Marekani je hapo airport ya Marekani huwa anapitaje?
 

Linda ni American citizen / Italian .sio mtanzania tena.mange sio raia ila green card anayo.Na bhoke akifika 18 anaweza mpa mama na frank uraia.mange sijui NDOA Yake Ina status gani?.mange awe na mzungu asiwe na mzungu atakuwa raia akitaka bhoke akigonga 18 tu frank na wanae wote na mkewe na bibi wanaweza pata.Hiyo ndio USA subira yavuta heri
 
Huyo Mange naye ubongo wake haupo sawa, ana tatizo la akili. Naye ni baboon tu. Mtu mwenye akili timamu hawezi gombana na watu kila siku.
Huyo Linda kila siku anamtukana matusi hayo hayo hakuna jipya. Hawa wanawake mie naona wote vichaa kwa kugombana kwenye mtandao.
 
chumba km stoo ya vtu vya zamani daah
mda wa kuandika magazeti si angekua anafagia bas
anapata wapi mda wa kujipamba,show off akakosa dkk tano za usafi ni shiiiiidaaaaa

Hiyo picha ya nyumbani kwake iko wapi manake bidada hapigi picha kwake hata siku moja..na akipiga yani anahakikisha haoneshi mandhari yote
 
Ni sheeda et anataka akamchomee Linda arudi bongo hhhhhaaa

Yani hata apige simu uhamiaji kila siku hana evidence zozote za kuwafanya wamrudishe Linda. Kasema ni mcongo kumbe uongo hana passport ya congo linda kaonesha visa ndani ya passport yake na sijaona reference ya ucongo. Hawa supporter wa mange wanamdanganya sana
 
Wote wajinga tu si Mange, Linda wala huyo Florah kutukanana kwenye mitandanao mimama mizima mpaka inakera
 

Hata kwenye gazeti aliloliandika kasema Linda alienda SA ila watu kwa vile wanampenda sana mange wameshindwa kuliona hilo
 

Kwenye , list yako ongeza Viola katoka kuandikiwa gazeti
 
Amenichosha huyo Mange.. mara ya kwanza sijaweza kusoma gazeti naona ni non sense tu.... utatukana kila mtu anaekuchukia utaweza...

Ujinga mtupu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…