Jestina
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,828
- 1,712
Ha ha ha ha, ngoja na ww nikustiri tuu. Unajua why?
Unisitiri,mie nimekuzalia mumeo????msonyoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha, ngoja na ww nikustiri tuu. Unajua why?
muone nae huyu kuvamia watu we utakua yule bibi viola aaaahaaa
muone nae huyu kuvamia watu we utakua yule bibi viola aaaahaaa
Unisitiri,mie nimekuzalia mumeo????msonyoooo
We realy don't care usitujaribie mjadala kwa kebehi matusi na fedheha zako!!Mwambieni Mange yeye ni mama anataka kuvunja record ya kugombana na wanawake wote!kana hajasoma jamani!!
Hata Birmingham yenyewe kuiandika hujui, uki graduate wapi, kwenye cleaning job?
Waliosoma utamtoa mange kiruuu
Ukiona washamba wa Ulaya wanakusumbuwa unamtag thread Le Mutuz aliyekaa Marekani miaka 30 wote wanapoteana hapa.
Waliosoma utamtoa mange kiruuu
Why don't you comment to her IG page my dear with your real account? I'm sure she'll appreciate your concern about her.
Nkutajie nilipo graduate ili utafute docs zangu na papers zangu!!mfyuuuuu!!Acha kukariri kusoma kuelewa english sio lugha mama!!nakipenda kiswahili wala sioni haya kukosea mji wa kizungu,ningekosea kutaja matombo kwa nduguzo ndio ingekuwa issue!!
na wewe inakuhusu nini kuniambia mimi zels mtu hata kumjua simjui zaidi ya kumsoma hapa jfNikiwa bibi viola au sio wewe inakuhusu nini?
Hua sifollow machiz ndio maana umeamua kutufata humu pole mange dear
Why don't you comment to her IG page my dear with your real account? I'm sure she'll appreciate your concern about her.
Nkutajie nilipo graduate ili utafute docs zangu na papers zangu!!mfyuuuuu!!Acha kukariri kusoma kuelewa english sio lugha mama!!nakipenda kiswahili wala sioni haya kukosea mji wa kizungu,ningekosea kutaja matombo kwa nduguzo ndio ingekuwa issue!!
Waombe lift hata jet ya JK maana kila siku yupo huko hawezi kuwanyima, JK ni mkarimu sana.
Waliosoma utamtoa mange kiruuu
I see kumbe kina Kinda mpo wengi
Mdomo huo dada, umemponza Linda, mbutananga, Viola
na wewe inakuhusu nini kuniambia mimi zels mtu hata kumjua simjui zaidi ya kumsoma hapa jf