Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Can you be clear please?
Maana yake Elimu haijamkomboa!atlest ile ya kupaa usiku which she is doing pretty good right now!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you be clear please?
I see kumbe kina Kinda mpo wengi
Waombe lift hata jet ya JK maana kila siku yupo huko hawezi kuwanyima, JK ni mkarimu sana.
na wewe inakuhusu nini kuniambia mimi zels mtu hata kumjua simjui zaidi ya kumsoma hapa jf
Anawaita watoto wa watu mbumbumbu!akati yeye elimu haijamkomboa!!what happened to education is sexy!?OMG Mange anajifanya boko haram anatukanwa anony pembeniiiii!
Km uliishi kihalali kwa nini uogope. Km ulipass vizuri your degree kwa nini uogope. Kwa na self confidence kaka/dada
Maana yake Elimu haijamkomboa!atlest ile ya kupaa usiku which she is doing pretty good right now!
If Mange alikuwa anasagwa ni her business w wala simtetei. Ila kuna nyinyi mnaojitia wasafi my ass, mnajificha kwenye keyboard na fake IDs.
Ni vizuri kuacha unafki, hasada na roho za kwanini
Is that what you did; ooh that's so sad?
Hahahaaa usinitishe wangu,nishajionea vimbwanga vyote chini ya jua,hamna jipya....simpendi mange....ila anakoenda siko...nyie washauri wake I HONEST BELIEVE mnampoteza..........mabifu hayajengi hata siku moja,labda alichokozwa angeweza kuretaliate in a good way.....angeweza kureport km alivyofanya mwanzo picha zikaondolewa au angemcontact huyo viola wakapata suluhu.....period.
How did you know, you must be partners in crime. Kuchamba kwingi.....
Sasa mnaanza kutoa siri zenu, lol
zels,wewe ni mnafiki number moja!kama mange kusagwa its her business why me being gay should be your business au visa ya Linda!!Wewe una husuda instead of speaking rubbish hapa bora ungekuja na hoja za msingi kuliko matusi!!Mshauri Mange yeye ni mama,watoto wanamhuitaji!
Wewe mwenyewe poyoyo tu kumbe!I thought upo kwa ajili ya her best interest kumbe huna jipya koku,
zels,wewe ni mnafiki number moja!kama mange kusagwa its her business why me being gay should be your business au visa ya Linda!!Wewe una husuda instead of speaking rubbish hapa bora ungekuja na hoja za msingi kuliko matusi!!Mshauri Mange yeye ni mama,watoto wanamhuitaji!
Wewe mwenyewe poyoyo tu kumbe!I thought upo kwa ajili ya her best interest kumbe huna jipya koku,
Yaan Mange amekaribia kukosana na wanawake wa Tanzania yoteee hadi wanaume,,,,,jamani zels tumsaidie mange anahitaj msaada tena mkubwaa
Kama zels hujifichi nyuma ya keyboard na I'd fake tuambie jina lako halisi,upo ulaya mji gani na ulisoma chuo gani,unafanya kazi danguro gani na tupiamo picha yako hapa,!kama hujaishia kutupia kiduku cha dougiemaster sijuiiiii!!
Hebu kajambe huko unatuletea kichefuchefu tu.
Hakuna anae support kutuksna watu, ili na nyinyi muache kushadadia maugomvi yasiyowahusu.
Na pia muache unafki wenu. Km anakosea mumwambia kuliko kuwa na chuki na yy coz hawajui hamumjui. Ukiwa na chuki na mtu usiye mjua unakuwa km mchawi na mnajikosesha baraka za Mwenyezi Mungu.
Ukwelu unauma??
Toa mwiba watakoni kwanza