Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
We realy don't care usitujaribie mjadala kwa kebehi matusi na fedheha zako!!Mwambieni Mange yeye ni mama anataka kuvunja record ya kugombana na wanawake wote!kana hajasoma jamani!!

Waliosoma utamtoa mange kiruuu
 
Hata Birmingham yenyewe kuiandika hujui, uki graduate wapi, kwenye cleaning job?

Nkutajie nilipo graduate ili utafute docs zangu na papers zangu!!mfyuuuuu!!Acha kukariri kusoma kuelewa english sio lugha mama!!nakipenda kiswahili wala sioni haya kukosea mji wa kizungu,ningekosea kutaja matombo kwa nduguzo ndio ingekuwa issue!!
 
Ukiona washamba wa Ulaya wanakusumbuwa unamtag thread Le Mutuz aliyekaa Marekani miaka 30 wote wanapoteana hapa.

Hhhhhhhaaaaa kama ana lemtindizzzzz nitamtag kama hana lemutuz hafagiliiiii
 
Nkutajie nilipo graduate ili utafute docs zangu na papers zangu!!mfyuuuuu!!Acha kukariri kusoma kuelewa english sio lugha mama!!nakipenda kiswahili wala sioni haya kukosea mji wa kizungu,ningekosea kutaja matombo kwa nduguzo ndio ingekuwa issue!!

Km uliishi kihalali kwa nini uogope. Km ulipass vizuri your degree kwa nini uogope. Kwa na self confidence kaka/dada
 
Why don't you comment to her IG page my dear with your real account? I'm sure she'll appreciate your concern about her.

There is no need on commenting to a psycho's page when she reads here herself!Don't be a bad influence on Mange!Mwepushie mwenzio maisha ya visasi matusi na chuki!!Unajifanya wampenda akati unachekelea what she is going through!I mean she admitted that she is INSANE!
 
Nkutajie nilipo graduate ili utafute docs zangu na papers zangu!!mfyuuuuu!!Acha kukariri kusoma kuelewa english sio lugha mama!!nakipenda kiswahili wala sioni haya kukosea mji wa kizungu,ningekosea kutaja matombo kwa nduguzo ndio ingekuwa issue!!

.......Au mchamba wima, Makunduchi na kwa mpiga miti.
 
I see kumbe kina Kinda mpo wengi

Stop intoxicating urself with hatred!by the way kinda ndo nani!!U see acha kutetemeka tuongee vizuri tu!!Why Mange anagombana na watu wengi ivo!!there is no war u can wage against the mass without exploding yourself!!
 
Mdomo huo dada, umemponza Linda, mbutananga, Viola

Hahahaaa usinitishe wangu,nishajionea vimbwanga vyote chini ya jua,hamna jipya....simpendi mange....ila anakoenda siko...nyie washauri wake I HONEST BELIEVE mnampoteza..........mabifu hayajengi hata siku moja,labda alichokozwa angeweza kuretaliate in a good way.....angeweza kureport km alivyofanya mwanzo picha zikaondolewa au angemcontact huyo viola wakapata suluhu.....period.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…