Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
na wewe inakuhusu nini kuniambia mimi zels mtu hata kumjua simjui zaidi ya kumsoma hapa jf

Haya mkuu umeshinda jumapili njema,rudi u-turn ila usituandikie gazeti,lol
 
Anawaita watoto wa watu mbumbumbu!akati yeye elimu haijamkomboa!!what happened to education is sexy!?OMG Mange anajifanya boko haram anatukanwa anony pembeniiiii!

Mange aka dougmaster wa Ig heheeeeeee
 
Km uliishi kihalali kwa nini uogope. Km ulipass vizuri your degree kwa nini uogope. Kwa na self confidence kaka/dada

Anika zako tuione hiyo slf confidence uliyonayoo!
 
Maana yake Elimu haijamkomboa!atlest ile ya kupaa usiku which she is doing pretty good right now!

How did you know, you must be partners in crime. Kuchamba kwingi.....

Sasa mnaanza kutoa siri zenu, lol
 
If Mange alikuwa anasagwa ni her business w wala simtetei. Ila kuna nyinyi mnaojitia wasafi my ass, mnajificha kwenye keyboard na fake IDs.

Ni vizuri kuacha unafki, hasada na roho za kwanini

zels,wewe ni mnafiki number moja!kama mange kusagwa its her business why me being gay should be your business au visa ya Linda!!Wewe una husuda instead of speaking rubbish hapa bora ungekuja na hoja za msingi kuliko matusi!!Mshauri Mange yeye ni mama,watoto wanamhuitaji!
Wewe mwenyewe poyoyo tu kumbe!I thought upo kwa ajili ya her best interest kumbe huna jipya koku,
 
Last edited by a moderator:

Hakuna anae support kutuksna watu, ili na nyinyi muache kushadadia maugomvi yasiyowahusu.
Na pia muache unafki wenu. Km anakosea mumwambia kuliko kuwa na chuki na yy coz hawajui hamumjui. Ukiwa na chuki na mtu usiye mjua unakuwa km mchawi na mnajikosesha baraka za Mwenyezi Mungu.
 
How did you know, you must be partners in crime. Kuchamba kwingi.....

Sasa mnaanza kutoa siri zenu, lol

Si alisema mwenyewe shamim mchawi,sie tukajiuliza yeye amejuaje km na yeye sio mchawi?
 

Yaan Mange amekaribia kukosana na wanawake wa Tanzania yoteee hadi wanaume,,,,,jamani zels tumsaidie mange anahitaj msaada tena mkubwaa
 
Last edited by a moderator:
Kama zels hujifichi nyuma ya keyboard na I'd fake tuambie jina lako halisi,upo ulaya mji gani na ulisoma chuo gani,unafanya kazi danguro gani na tupiamo picha yako hapa,!kama hujaishia kutupia kiduku cha dougiemaster sijuiiiii!!
 
Last edited by a moderator:

Mbona unaji contradict dada/kaka.
 
Last edited by a moderator:
Yaan Mange amekaribia kukosana na wanawake wa Tanzania yoteee hadi wanaume,,,,,jamani zels tumsaidie mange anahitaj msaada tena mkubwaa


Toa mwiba watakoni kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kama zels hujifichi nyuma ya keyboard na I'd fake tuambie jina lako halisi,upo ulaya mji gani na ulisoma chuo gani,unafanya kazi danguro gani na tupiamo picha yako hapa,!kama hujaishia kutupia kiduku cha dougiemaster sijuiiiii!!

Tuanze na ww
 
Last edited by a moderator:

Astaghafurilah!Acha kumtaja Mungu(tusamehe muumbaji) katika ujinga wenu!!Wala Mungu sio wenu peke yenu na ingekuwa ivo tungekoma!Nani kakwambia tunamchukia!!Yeye ndio blackwidow hapa,mwalimu mkufunzi wa chuki!!Ugomvi hatujashadadi she's the one who is publishing on social medias!!
 
Ukwelu unauma??

Ukwelu!Come on!Take a chill its just a girls talk!Umesoma wapi!?.ie sipo tayari kutaja real I'd ila nlidhani ulivokazana kutuhamasisha sie tusiwe wanafiki tuanike I'd zetu apa I thought upo tayari wewe kwanza!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…