Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hii sasa mupya kumbe huna nauli ya kurudi kuwekeza? Pole sana wewe huwezi hata kuwa kijakazi wangu, nje ya JF huna access ya kuchart na mimi malaya wewe.
Really,Kumbe huwa unawajua wenzio weoootee malaya + malaya=......
Star wa great thinker MALAYA
 
Really,Kumbe huwa unawajua wenzio weoootee malaya + malaya=......
Star wa great thinker MALAYA

Hilo tusi sio jipya!!I knw utaresort kwenye hilo jina lako zels!
 
Last edited by a moderator:

.......ungekuwa hu suport kutukana watu.....sioni sababu ya WEWE kumpenda mange??!...yeye ni kinara wa kufanya hivyo....rudia ile list ya watu aliogombana nao...kny blog yake,ni matusi tu.......mnh....na recently ndio imekuwa worse....sijui hio energy anaitoa wapi???..am sure angewekeza the same energy kwingine...angepata postive results,iwe kny mahusiano ama kipesa..

Lastly Muombee lol na km wewe ni mtu wake wa karibu,plz huko USA i think kuna madaktari wengi wa vitu km misongo,mpeleke akamuone mmoja,mwenyewe ka admit she is insane....sasa this is dangerous for the kids,admitting first ndio njia mojawapo ya kupata tiba,second ni kumuona daktari.....maana km ndoa ina mushkeli,biashara zimegoma afu watu wanakuzingua,unaweza ukaua..........mie simfollow ningemshauri with my name....ila.nimejifunza she is not reliable/trustworthy...km aliweza kumtukana mtu best friend wake aliyemsimamia harusi ndio itakuwa mie mtu baki tukipishana kauli?
 
Amesema anachamba wotee hhhhhaaaaaa,,,anajitetea sebuleni kwa wake zake jaman ndio pabaya hivyoo halaf anaiponda sebule ya viola wakati ya viola ni nzuri kweliiii

Sie tunaoishi ulaya tunajua maisha ya ulaya nadhani huyo Mange Ana maisha ya kawaida sana na ndo maana Ana Stress za wivu na chukiii atuonnyeshe gari Analoendesha na nyumba anayoishi kama wenzie wakina zari wanavyofloss...hana jeuri hiyo mparee yule anaishiaa kuwa na majungu na atavunaa fitina alizozipanda!!!
 
Stop intoxicating urself with hatred!by the way kinda ndo nani!!U see acha kutetemeka tuongee vizuri tu!!Why Mange anagombana na watu wengi ivo!!there is no war u can wage against the mass without exploding yourself!!

Really, can you count yourself as a mass?
 
Ana stress masikini hadi huruma!!Wewe Dina ujue sio kama anapenda!!chezea mtu mgomvi kuliko neno lenyewe ugomviiii!!haaaa watakoni ametishaaa!

Hhhhhhhaaaaaaaa uwiiii najua hapendiiiiii
Watakon ni jina la baba yKee
 
Last edited by a moderator:

Anatembelea gari la mmewe akiwa hayupo anapanda bus
 
Why are you quoting a small part, when she said she's insane?

Can't you see that's is hypocrite we are talking about. Why you are changing the whole meaning. To be honest you need help too.
 

Ana mizigo moyoni mwakee sijui analalaje usiku na chukiii nyingi kiasi kile duh Ana hata rafiki wa maana na watu wa maana watakuwa wanamuogopa na zile tabia zake huwezi kuwa na rafiki kama yule manake siku urafiki ukisha anakulipua kwenye Blog Yake!!! She is damned!!
 
Na aliondoka bongo kimyakimya naona walimkosakosa
 
Really, can you count yourself as a mass?
Kumbe wewe ni Mange!!Read between the lines I said Mange against the mass!!Wewe unatafuta pa kufukia wewe!utapapata na usidhani threat ulizomfanyia Jestina zitnistua mshipa!!wewe una chuki zako binafsi unatafuta mtu wa kumwandikia gazeti!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…