Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Dua si katoka juzi tu kusomewa hapa bongo?
Mimi pia najiuliza,je ni sifa kugombana na kila mtu?haogopi?
Sometimes anajitoa tu fahamu lakini watu walitaka kumfanyizia alivyokuja ashukuru tu sakata la escrow liliwaweka watu busy...lol

Are you serious walitaka kumfanyizia?
Omg Mungu mlinde jamani wanae bado wanamuhitaji.
ila asipobadilika atakufa vibaya huyu.
Hiyo dua labda imedunda mbona bado ana mkosi wakugombana na watu.
 
Ivi mme wake anaelewaga kweli upuuzi wa mkewe?
 

Simjui Mange ila unemsema sanaaa...umesema anaandika sana vile yuko depressed..I am convinced to think you might also be depressed kutokana na ulivyoeleza sifa za watu walio depressed...gazeti lako refu sana na point zinajirudiarudia.
 
Are you serious walitaka kumfanyizia?
Omg Mungu mlinde jamani wanae bado wanamuhitaji.
ila asipobadilika atakufa vibaya huyu.
Hiyo dua labda imedunda mbona bado ana mkosi wakugombana na watu.

Ulikua wapi wewe?hukuona alivyoanza kulalamika kua atakua hasalimiani na watu hovyo akija bongo maana anaogopa tindikali?
Tena akaenda mbali zaidi kua atakua anatembea na bodyguard yeyote atakayemsogelea kizembe atakula risasi ya kalio kama khanga moko...lol
 
Simjui Mange ila unemsema sanaaa...umesema anaandika sana vile yuko depressed..I am convinced to think you might also be depressed kutokana na ulivyoeleza sifa za watu walio depressed...gazeti lako refu sana na point zinajirudiarudia.

Kuna wagumba ni mahodari wakumjua mwenye mimba hata ya wiki moja.

Je madaktari wenye kuzijua sifa za watu wenye matatizo ya akili nao ni vichaa?
Jibu kimoyomoyo.
 

Hahaaaaa OMG umenichekesha sana, hiyo niliimisi ngojea nikipata muda nikaitafute hahaa.
Ni nini kuwa kama digidigi kwenye nchi ya mababu zako!!
Honestly nimecheka sana.
 

Umenifurahisha na hicho kichwa cha uzi wako
 

Upo shoga?hapo kwa wema kuna kaukweli ata alivyokuja bongo sijaona picha za pamoja jamani huu udada ni wa kwenye mablog tu??
 
Haha haaaa,haya ngoja nijiandae kwa kituko cha pasaka!

Hahaa hata mi namsubiria adui mpya kwa hamu.Mi nabunia,safari hii adui mpya wa Mange atakua ni mwanaume.
 
Mange najua unasomaga hapa,wewe una short kidogo kwenye ubongo ni venye tu sijui jina yake kitalam.ila nikwambie siri moja,wazazi huwekea watoto hazina ya utu uzeeni,mimi leo nikipita sehemu wazazi wangu walifahamika si siri nasikia mema mno mpaka nasema na mimi ntajifunza siku nina familia jinsi ya kuishi na watu si kwa ajili yangu tu bali kwa wanangu na ndugu zangu.i can see how u send your loneliness on the posts,jifunze kuishi na watu.then stop calling wema mdogo coz shes not,and stop calling Zari bi zari coz shes damn hotter than any mother of 3 I know,stop pretending that u soo much love wema.samahani kwa makala wadau
 
Umenifurahisha na hicho kichwa cha uzi wako

Asante.
Ila ni kweli huko ni kutesa watoto.
Na ina maana Kila anapoandika ile migazeti yake watoto wanashinfa njaa na hata muda wakumbadilisha mtoto diaper safi hana.
Bora yeye asile au ashinde na kikufuli chake cha toka juzi ila sio ashindishe watoto na njaa eti kisa anamstress Zari.Atamuwezea wapi Zari.
 

Ila umeandika uzi mrefu pia I hope huna personal grudges nae ni mapenzi yako ulionayo kwa watoto, I hope ni hivyo..... Ila point unayo
 
Mange hana tofauti na Le mutuz...wanapenda kudandia matukio hatari....

Huko uzeeni watakuwa wachawi hawa...

Sasa lemutuz si mzee tayari. ..

Mange si alikuwa na ule mradi wa kuwakuwadia dadazetu oline dating akiwasaidia kulipa subscription fee .. eti wapate wazungu. .. hehe

Huyu dada ana akili fupi sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…