Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Dua si katoka juzi tu kusomewa hapa bongo?
Mimi pia najiuliza,je ni sifa kugombana na kila mtu?haogopi?
Sometimes anajitoa tu fahamu lakini watu walitaka kumfanyizia alivyokuja ashukuru tu sakata la escrow liliwaweka watu busy...lol

Are you serious walitaka kumfanyizia?
Omg Mungu mlinde jamani wanae bado wanamuhitaji.
ila asipobadilika atakufa vibaya huyu.
Hiyo dua labda imedunda mbona bado ana mkosi wakugombana na watu.
 
Ivi mme wake anaelewaga kweli upuuzi wa mkewe?
 
" Uwiii jamani saa 7 mchana hii sijafanya lolote nimekalia umbea tu. Keanu hata uji hajanywa, mwanangu analia njaa mamake nimekalia umbea… Uwiii byeee, ngojeni nimlishe mtoto then nichat na wateja niache umbea jamani…"

Hayo hapo juu sio maneno yangu ni maneno ya Mange mwenyewe, nimeyatoa kwenye blog yake.Nawaonea huruma watoto wa Mange hasa kale kachanga maskini ya Mungu.Mama yao anatumia nguvu nyingi kujaribu kufanya watu wamuone Zari choka mbaya kitu ambacho hakiwezekani.Mange Kimambi nilikua nakupenda na nilikua naona unaonewa kwenye maugomvi yako ila siku ile ulivyoandika umemuacha mwanao mchanga hadi saa saba bila kumlisha kisa tu umponde Zari ambaye humfikii hata tone nilikuchukia sana.Kwanini malaika wa Mungu ateseke bila hatia?

Nimegundua wewe dada una wivu sana ndio maana umebaki mpweke huna hata rafiki mmoja.Wewe ni binadamu gani umegombana na kila mtu?Nina uhakika huko Marekani ulipo inaweza kupita hata miezi sita hujacheka coz rafiki pekee uliye naye ni mumeo.Pia inaonesha upweke umekuletea depresion sbb kwanza hata kwenye picha zako inaonesha huna furaha,pili watu wenye depresion wanaongea sana ndio maana unaandika migazeti mirefuu halafu unaongea hata vitu ambavyo vilitakiwa vibaki siri.Ungekua huna depresion usingeandika hadi saa saba hujamlisha mtoto ila kwa vile una depresion huwez kucontrol nini useme nini usiseme.

Shame on you Mange,you are a bad mother. I wish i could take Keanu from you coz you cant take good care of that lil cute prins.Halafu sasa inachekesha jinsi Mange anavyoandika migazeti kila siku yakuonesha kwamba Zari ni mama mbaya wakati huo huo yeye anashindisha kichanga chake na njaa akiwa busy kuonesha ulimwengu kuwa Zari ni mama mbaya.

Yaani uko busy na Zari hata hollywoodshopaholics huna time nayo tena.Dada hao watoto uliwaleta duniani kwa mapenzi yako nakuomba wivu na chuki zako kwa wanawake wenzio isiwe mateso kwa hao wanao malaika wa Mungu wasiojua na hatia.They are too cute to suffer for no reason please i beg you Mange.

Hebu jiulizeni kama hadi saa saba mtoto analia njaa hajapewa uji unafikiri hata diaper aliyoamka nayo ilibadilishwa?Sidhani.Nina uhakika hadi hiyo saa saba Mange alikua kwenye pajama aliyoamka nayo hajapiga mswaki wala kusafisha nyumba yake wala kubadili kufuli aliloamka nalo.Upweke ni mbaya sana jamani huyu Mange angekua na rafiki japo mmoja tu sidhani kama angepata hata muda wakuandika migazeti yake kuponda wenzie.

Mange tafuta marafiki coz its obvious huna social life.Sio vizuri kuishi kwa upweke.Upweke ni ugonjwa na unaishia na watu kujiua.Hata umshushe vipi Zari kamwe hutamfikia sababu mwenzio kwanza ana social life ana furaha anakutana na rafiki zake wanasogoa wanacheka wewe umebakia nahesabu mahela.Hizo hela zitakupa umbea?Zitakuchekesha au zitakupa furaha ambayo mtu anapata akiwa na marafiki?Ukitaka kucheka na shoga inabidi upande ndege from LA to Houston kwa Theo na Led Pet.Halafu mbona hatuoni wakija kukutembelea?Au wewe ndio unawahitaji zaidi ya wao wanavyokuhitaji hivyo wakuone wasikuone kwao poa?

Halafu wote unao wa beef ni wazuri hatari.Yaani ukiwekwa ktk line moja na Zari.Linda.Shamim.Sintah Starlisha sidhani kama kuna mwanaume atakuangalia wewe.Na unalijua hilo ndio maana kila siku migazeti yako kuwaponda.Hivi Mange kwa akili zako unadhani wewe mwenye lonely life usiye na shoga wakula naye bata unaweza kuwakosesha raha kina Zari na kina Shamim wenye social life wanakutana kula bata na mashoga zao kila siku?

Magazeti yako yanayotokana na maisha yako ya stress za upweke haziwakomoi hao unaowaonea wivu bali zinawatesa wanao uliowazaa mwenyewe.

SIPENDI KUONA WATOTO WAKITESEKA KWA SABABU ZA KIPUMBAVU.
TUWALINDE WATOTO.




Simjui Mange ila unemsema sanaaa...umesema anaandika sana vile yuko depressed..I am convinced to think you might also be depressed kutokana na ulivyoeleza sifa za watu walio depressed...gazeti lako refu sana na point zinajirudiarudia.
 
Are you serious walitaka kumfanyizia?
Omg Mungu mlinde jamani wanae bado wanamuhitaji.
ila asipobadilika atakufa vibaya huyu.
Hiyo dua labda imedunda mbona bado ana mkosi wakugombana na watu.

Ulikua wapi wewe?hukuona alivyoanza kulalamika kua atakua hasalimiani na watu hovyo akija bongo maana anaogopa tindikali?
Tena akaenda mbali zaidi kua atakua anatembea na bodyguard yeyote atakayemsogelea kizembe atakula risasi ya kalio kama khanga moko...lol
 
Simjui Mange ila unemsema sanaaa...umesema anaandika sana vile yuko depressed..I am convinced to think you might also be depressed kutokana na ulivyoeleza sifa za watu walio depressed...gazeti lako refu sana na point zinajirudiarudia.

Kuna wagumba ni mahodari wakumjua mwenye mimba hata ya wiki moja.

Je madaktari wenye kuzijua sifa za watu wenye matatizo ya akili nao ni vichaa?
Jibu kimoyomoyo.
 
Ulikua wapi wewe?hukuona alivyoanza kulalamika kua atakua hasalimiani na watu hovyo akija bongo maana anaogopa tindikali?
Tena akaenda mbali zaidi kua atakua anatembea na bodyguard yeyote atakayemsogelea kizembe atakula risasi ya kalio kama khanga moko...lol

Hahaaaaa OMG umenichekesha sana, hiyo niliimisi ngojea nikipata muda nikaitafute hahaa.
Ni nini kuwa kama digidigi kwenye nchi ya mababu zako!!
Honestly nimecheka sana.
 
Fact.
Halafu hampendi Zari sbb ya Sintah.Hampendi Eve collection sbb ya Shamim.
Sasa kama atagombana na kila rafik wa adui yake si atagombana na Dar nzima coz hao anaowachukia wana marafiki wengi unlike yeye mwenye 0 friend.

Sasa alivyo addicted na ugomvi kaona anatamani maisha ya Zari huyoo mbio kaanzisha beef.

Umenifurahisha na hicho kichwa cha uzi wako
 
Huyo wema anayemuita mdogo wake kila siku mbona hajawahi hata kumsapoti katika kuuza hizo bidhaa zake?
Hata akinunua nywele kutoka kwake (eg afro kinky) hasemi kama kanunua kwa mange.
Nakuunga mkono mleta mada 100%.Mange kazidi wivu na roho mbaya.Hampendi dada wa watu Zarinah ambaye hata hamjui kisa anatoka na diamond aliyekua bwana wa 'mdogo wake' wema.
Aseme tuu ukweli kua anamuonea wivu mdada wa watu mzuri aache kujifananisha naye eti bibi mwenzie!
Zarinah na Mange ni ardi na mbingu!

Upo shoga?hapo kwa wema kuna kaukweli ata alivyokuja bongo sijaona picha za pamoja jamani huu udada ni wa kwenye mablog tu??
 
Mange najua unasomaga hapa,wewe una short kidogo kwenye ubongo ni venye tu sijui jina yake kitalam.ila nikwambie siri moja,wazazi huwekea watoto hazina ya utu uzeeni,mimi leo nikipita sehemu wazazi wangu walifahamika si siri nasikia mema mno mpaka nasema na mimi ntajifunza siku nina familia jinsi ya kuishi na watu si kwa ajili yangu tu bali kwa wanangu na ndugu zangu.i can see how u send your loneliness on the posts,jifunze kuishi na watu.then stop calling wema mdogo coz shes not,and stop calling Zari bi zari coz shes damn hotter than any mother of 3 I know,stop pretending that u soo much love wema.samahani kwa makala wadau
 
Umenifurahisha na hicho kichwa cha uzi wako

Asante.
Ila ni kweli huko ni kutesa watoto.
Na ina maana Kila anapoandika ile migazeti yake watoto wanashinfa njaa na hata muda wakumbadilisha mtoto diaper safi hana.
Bora yeye asile au ashinde na kikufuli chake cha toka juzi ila sio ashindishe watoto na njaa eti kisa anamstress Zari.Atamuwezea wapi Zari.
 
Asante.
Ila ni kweli huko ni kutesa watoto.
Na ina maana Kila anapoandika ile migazeti yake watoto wanashinfa njaa na hata muda wakumbadilisha mtoto diaper safi hana.
Bora yeye asile au ashinde na kikufuli chake cha toka juzi ila sio ashindishe watoto na njaa eti kisa anamstress Zari.Atamuwezea wapi Zari.

Ila umeandika uzi mrefu pia I hope huna personal grudges nae ni mapenzi yako ulionayo kwa watoto, I hope ni hivyo..... Ila point unayo
 
Mange hana tofauti na Le mutuz...wanapenda kudandia matukio hatari....

Huko uzeeni watakuwa wachawi hawa...

Sasa lemutuz si mzee tayari. ..

Mange si alikuwa na ule mradi wa kuwakuwadia dadazetu oline dating akiwasaidia kulipa subscription fee .. eti wapate wazungu. .. hehe

Huyu dada ana akili fupi sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom