Nadhani kazipata hizi salamu.
Haya wewe bibi uliyenichamba huko kwa Sintah mimi nimekulipa wema.
Nyani Ngabu huyu hapa nimeshamfikishia proposal yako.
Hihihiiii nifah kwani ukijipendekeza kwa Nyani Ngabu kuna ubaya.?????....atajiju na husda zake km hawezi kujitutumua Nyani Ngabu akamnotice,anaishia kutukana kny blog inahuuuuuu....
Kwani kakutukana na wewe?
Manake isije nikawa nadandia treni kwa mbele ambalo sijui hata lilikotoka na linakokwenda....
Otherwise,ungefanya tu kama nilivyofanya mimi kwa mmoja wao humu ambaye bado anarusha madongo yalokosa ubunifu...nacho ni kupotezea mazima kabisa.
Wamemtukana Matola na Geniveros kwenye comments huko kwa Mange
Jestina ni nani huyo kanitaja? Manake nimeuliza lakini sipewi jibu.
Nimetajwa wapi? Na nimetajwa na nani?
Kama nimetajwa na totoz kali inayozimia swaga zangu nambieni basi bana....msinibanie....
yaani huyu dada anakufwa for mange but hanaga shida kungine
Geniveros umeumia kwa mama yake Mange, pole mwaya binadamu tunatofautiana
Hahahahaha na mimi sikuambii vipi lakini snow umejiandaa?Eti nami nasikia nimetajwa halafu sijui kuna atajiunga JF kwa ajili yangu.
Ni nani huyo mtu? Manake hawa wengine nawauliza hata hawaniambii....
Mie sikubaniii....nataka tushee hapo hapo kwako na huyo totozzzz...lol....yaani miaka yote hii NN ninavyojipendekeza kwako..afu unataka uende kwa mtu kacomment kny blog??walahi sikubali hahahaaa...na mie plz mtu anicomment huko kwa sintah lol
Seriously huu umbea mie siujui,hata hii topic nimedandia tu....labda uende kny blog ya sintah....
Kwani kakutukana na wewe?
Manake isije nikawa nadandia treni kwa mbele ambalo sijui hata lilikotoka na linakokwenda....
Otherwise,ungefanya tu kama nilivyofanya mimi kwa mmoja wao humu ambaye bado anarusha madongo yalokosa ubunifu...nacho ni kupotezea mazima kabisa.
Hahahahaha na mimi sikuambii vipi lakini snow umejiandaa?
Ndio, mimi sipitagi uko U-turn ila taarifa nimepewa hapa.
Nikajirazimisha kupita uko leo nikathibitisha, ila tu uzuri wao hawanijui Matola ni ID yangu tu hapa JF nina jina langu halisi na haiba yangu, kama wana hoja waje hapa tupeane fact kwa fact.
Mange kama ana uthubutu aje hapa kama anaweza kulimudu tanuru la moto la JF na siyo kule kwenye kiblog chake uchwara ambako anaandika gazeti na kucomment yeye na malaya wenzake.
Naelewa dear, najua dawa ya kiburi jeuri. Namaanisha baada ya hili saga kuisha kabisa.
Watu waliache kama haliishi humu duniani, maana ni vimaneno vya kitoto ambavyo hata yeye huwachokonoa wengi tena zaidi yaa.
Ila ndio kujibu kwake ukaingize ukoo mzima wa mtu, mfano hao wadada wawili aliowaandikia gazeti.
Ndoa zao masikini, na familia, marafiki wanachukuliaje, kama yule aliyetukanwa king kong aah ni mwehu hasa na laana juu.
Okay, I got you.
Sasa tuje kwenye huyo totoz anaedaiwa kunitaja huko ambako hata sijui ni wapi.
Una idea yoyote ni nani?
Nataka nikamate fursa kama analipa.
dah umekomaa na totoz anaitwa pilipili kichaa anakupenda ht mi nilimsoma
Acha utani bana.
Kama unajua nambie tu.
Jestina anakufwa for you kamata hiyo fursa kwanza kabla huyo mamluki hajaja na limbwata lake.Okay, I got you.
Sasa tuje kwenye huyo totoz anaedaiwa kunitaja huko ambako hata sijui ni wapi.
Una idea yoyote ni nani?
Nataka nikamate fursa kama analipa.
pilipipi kichaa alisema anampenda nn atajiunga jf kwa ajili yako tu