Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Nadhani kazipata hizi salamu.
Haya wewe bibi uliyenichamba huko kwa Sintah mimi nimekulipa wema.
Nyani Ngabu huyu hapa nimeshamfikishia proposal yako.

Hihihiiii nifah kwani ukijipendekeza kwa Nyani Ngabu kuna ubaya.?????....atajiju na husda zake km hawezi kujitutumua Nyani Ngabu akamnotice,anaishia kutukana kny blog inahuuuuuu....
 
Hihihiiii nifah kwani ukijipendekeza kwa Nyani Ngabu kuna ubaya.?????....atajiju na husda zake km hawezi kujitutumua Nyani Ngabu akamnotice,anaishia kutukana kny blog inahuuuuuu....

Jestina ni nani huyo kanitaja? Manake nimeuliza lakini sipewi jibu.

Nimetajwa wapi? Na nimetajwa na nani?

Kama nimetajwa na totoz kali inayozimia swaga zangu nambieni basi bana....msinibanie....
 
Kwani kakutukana na wewe?

Manake isije nikawa nadandia treni kwa mbele ambalo sijui hata lilikotoka na linakokwenda....

Otherwise,ungefanya tu kama nilivyofanya mimi kwa mmoja wao humu ambaye bado anarusha madongo yalokosa ubunifu...nacho ni kupotezea mazima kabisa.

Wamemtukana Matola na Geniveros kwenye comments huko kwa Mange
 
Wamemtukana Matola na Geniveros kwenye comments huko kwa Mange

Eti nami nasikia nimetajwa halafu sijui kuna mtu atajiunga JF kwa ajili yangu.

Ni nani huyo mtu? Manake hawa wengine nawauliza hata hawaniambii....
 
Jestina ni nani huyo kanitaja? Manake nimeuliza lakini sipewi jibu.

Nimetajwa wapi? Na nimetajwa na nani?

Kama nimetajwa na totoz kali inayozimia swaga zangu nambieni basi bana....msinibanie....

Mie sikubaniii....nataka tushee hapo hapo kwako na huyo totozzzz...lol....yaani miaka yote hii NN ninavyojipendekeza kwako..afu unataka uende kwa mtu kacomment kny blog??walahi sikubali hahahaaa...na mie plz mtu anicomment huko kwa sintah lol

Seriously huu umbea mie siujui,hata hii topic nimedandia tu....labda uende kny blog ya sintah....
 
Geniveros umeumia kwa mama yake Mange, pole mwaya binadamu tunatofautiana

mine nimempoteza mama kipindi namhtaji sana sijielewi,kipindi niko mwanafunzi,mdogo tu kuna mda mpaka kesho hua namhtaji sana but its too late
amebaki kunijia ndotoni tu
na mafundisho ya imani zetu "yanasema waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi*
ingine wanasema "pepo ziko chini ya nyayo za wazazi wenu"
mtanisamehe msio na dini sijui kitabu chenu kinasemeje
naumia nikiona mtu hamthamini mzazi hasa mama
nimeenda labour two times naujua uchungu wa mtoto
na mzazi hana kosa kwa mwanawe mange kajizaa?mbona hampendi mama ake
ye si mama yule?hv bhoke akija kumfanyia vile atajiskiaje?
 
Mie sikubaniii....nataka tushee hapo hapo kwako na huyo totozzzz...lol....yaani miaka yote hii NN ninavyojipendekeza kwako..afu unataka uende kwa mtu kacomment kny blog??walahi sikubali hahahaaa...na mie plz mtu anicomment huko kwa sintah lol

Seriously huu umbea mie siujui,hata hii topic nimedandia tu....labda uende kny blog ya sintah....

Hahahaaa daah.

Huko mi wala sina muda wa kwenda kupoteza.

Huyu nifah naye sijui kwa nini ananibania tu.

Yaani totoz inataka kujiunga JF kwa ajili yangu? I got swagga man hahahahaaaaaa (just kidding)
 
Last edited by a moderator:
Kwani kakutukana na wewe?

Manake isije nikawa nadandia treni kwa mbele ambalo sijui hata lilikotoka na linakokwenda....

Otherwise,ungefanya tu kama nilivyofanya mimi kwa mmoja wao humu ambaye bado anarusha madongo yalokosa ubunifu...nacho ni kupotezea mazima kabisa.

Ndio, mimi sipitagi uko U-turn ila taarifa nimepewa hapa.

Nikajirazimisha kupita uko leo nikathibitisha, ila tu uzuri wao hawanijui Matola ni ID yangu tu hapa JF nina jina langu halisi na haiba yangu, kama wana hoja waje hapa tupeane fact kwa fact.

Mange kama ana uthubutu aje hapa kama anaweza kulimudu tanuru la moto la JF na siyo kule kwenye kiblog chake uchwara ambako anaandika gazeti na kucomment yeye na malaya wenzake.
 
Okay, I got you.

Sasa tuje kwenye huyo totoz anaedaiwa kunitaja huko ambako hata sijui ni wapi.

Una idea yoyote ni nani?

Nataka nikamate fursa kama analipa.
 
Naelewa dear, najua dawa ya kiburi jeuri. Namaanisha baada ya hili saga kuisha kabisa.
Watu waliache kama haliishi humu duniani, maana ni vimaneno vya kitoto ambavyo hata yeye huwachokonoa wengi tena zaidi yaa.

Ila ndio kujibu kwake ukaingize ukoo mzima wa mtu, mfano hao wadada wawili aliowaandikia gazeti.
Ndoa zao masikini, na familia, marafiki wanachukuliaje, kama yule aliyetukanwa king kong aah ni mwehu hasa na laana juu.

yule dada namjua mpaka familia yake siwezi sema mengi any way yote maisha
 
Nilipita tu kuyaona ya Vijana wacha Nimuangalie Mzee Mwenzangu Tundu Lissu Mikasini ...Ok Bye
 
Okay, I got you.

Sasa tuje kwenye huyo totoz anaedaiwa kunitaja huko ambako hata sijui ni wapi.

Una idea yoyote ni nani?

Nataka nikamate fursa kama analipa.

dah umekomaa na totoz anaitwa pilipili kichaa anakupenda ht mi nilimsoma
 
Makubwa haya.....naweza kulikana kabila langu aisee.....
 
Okay, I got you.

Sasa tuje kwenye huyo totoz anaedaiwa kunitaja huko ambako hata sijui ni wapi.

Una idea yoyote ni nani?

Nataka nikamate fursa kama analipa.
Jestina anakufwa for you kamata hiyo fursa kwanza kabla huyo mamluki hajaja na limbwata lake.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom