Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
voda wanamlia mingo tu
yani wale wadada km yule mwingine my very close person simtaji namhifadhi halafu mstaarabu jamani na wazazi sasa wastaarabu hatari anaona donge ye kaolewa us mume kafulia ptuuuu anabaki kutukana wenzie waliowahi hapahapa bongooo
wapiii dada achana nae na mungu ailinde ndoa yako miaka elffffff

Nikuchekeshe, yule Dada ni wajina wangu aisee, nlivyoingia kule nikakuta jina nikastukajee...ila nimeumia sana alivyomchambia hadi Dada na wakwe, nimemtukana sana Mange Leo...Mungu atanisamehe
 
Nikuchekeshe, yule Dada ni wajina wangu aisee, nlivyoingia kule nikakuta jina nikastukajee...ila nimeumia sana alivyomchambia hadi Dada na wakwe, nimemtukana sana Mange Leo...Mungu atanisamehe

Katoa hizo post zimebaki za linda na mbutananga
 
Nikuchekeshe, yule Dada ni wajina wangu aisee, nlivyoingia kule nikakuta jina nikastukajee...ila nimeumia sana alivyomchambia hadi Dada na wakwe, nimemtukana sana Mange Leo...Mungu atanisamehe

mashallah una jina zuri sana mimi yule dada namjua yule mdogo ndo shostiii na kashaniuzia viatu vya shanga shanga nawapenda sana
mi pia kanikera na mtanange hauishi
 
yule dada namjua mpaka familia yake siwezi sema mengi any way yote maisha

Kwanza yule ndio hakuna kibaya alichoandika, wala hajatukana ni uchizi wake tu.
Ametoa zile post mbili, sasa waliokuwa wanamtetea humu na wale misukule yake ya mule inashushukaje hahahaaaa
Ukiwa upande wa mange lazima na akili ziwe sawa.

Mpe pole dada wa watu, Mwenyezi Mungu atamlipia hapahapa duniani akiona. kadhalilishwa sana tofauti hata maneno aliyo comment huko IG.
 
yule anaemtukana leo jamani ni mtu wangu wa karibu sana dah yani siamini

kwani nani atukanwa leo?huyu kwani anataka kugombana na watu bilioni 7 ataweza kweli.jamani kwenda darasani si kuelimika.kati ya watu ambao elimu haijawakomboa ni huyu.
 
mashallah una jina zuri sana mimi yule dada namjua yule mdogo ndo shostiii na kashaniuzia viatu vya shanga shanga nawapenda sana
mi pia kanikera na mtanange hauishi

Nashukuru....ila tusemeni bila kumung'unya maneno Mange hana radhi ya mama, Afanye akafagilie kaburi, a some dua na atoe wakfu....

Na hivi kaolewa huko ughaibuni ajiangalie wanawe wasije wakamtenga na kumchukia kuliko yeye alovyomchukia mama yake....
 
Jestina anakufwa for you kamata hiyo fursa kwanza kabla huyo mamluki hajaja na limbwata lake.

Tatizo nyotaaaaaaaaa...lol...NN anamtaka le super babezzzz,le super mtindizzz,labda zile type za akina zari,lol........kwani Matola una mke????,lol......ole wenu muende kwa sintah na kuanza kuning'ong'a...lol💉💉💉💉💉💉💉💉
 
Last edited by a moderator:
Hihihiiii nifah kwani ukijipendekeza kwa Nyani Ngabu kuna ubaya.?????....atajiju na husda zake km hawezi kujitutumua Nyani Ngabu akamnotice,anaishia kutukana kny blog inahuuuuuu....

Hahahaaaaa basi simuambii tena mwaya.Kumbe umejitutumua humu kitambo halafu yeye anataka amnyakue NN kiulaiini eeh?
Na akanichambe tena vizuri sasa nimempeperushia ndege.
Hahahahaaaaa
 
Tatizo nyotaaaaaaaaa...lol...NN anamtaka le super babezzzz,le super mtindizzz,labda zile type za akina zari,lol........kwani Matola una mke????,lol......ole wenu muende kwa sintah na kuanza kuning'ong'a...lol💉💉💉💉💉💉💉💉
Nyani Ngabu kamata fursa hii kabla sijapiga hatua moja mbele.

Mwaka huu Le Tamkoz linasema hatutaki tena masenior bachelor.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hiyo saa 9 usiku mi hua naota nipo peponi nakula bataa jamaniii sijui nani aniamshe yaan Matola moyo unanienda mbioo Kim nana we ni popo pulizzzz utascreen shot kama ni video downloud then utanipa maubuyu wangu etiiiii mim hua ninalala unaweza nibeba kunitupa popoteeee
Ndio naingiaaa nilikua nasoma nilipoishiaaaaaa
 
Shoga updates za insta Viola kajiua ndo maana Mange kafuta comments....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom