voda wanamlia mingo tu
yani wale wadada km yule mwingine my very close person simtaji namhifadhi halafu mstaarabu jamani na wazazi sasa wastaarabu hatari anaona donge ye kaolewa us mume kafulia ptuuuu anabaki kutukana wenzie waliowahi hapahapa bongooo
wapiii dada achana nae na mungu ailinde ndoa yako miaka elffffff
pilipipi kichaa alisema anampenda nn atajiunga jf kwa ajili yako tu
Nikuchekeshe, yule Dada ni wajina wangu aisee, nlivyoingia kule nikakuta jina nikastukajee...ila nimeumia sana alivyomchambia hadi Dada na wakwe, nimemtukana sana Mange Leo...Mungu atanisamehe
Nikuchekeshe, yule Dada ni wajina wangu aisee, nlivyoingia kule nikakuta jina nikastukajee...ila nimeumia sana alivyomchambia hadi Dada na wakwe, nimemtukana sana Mange Leo...Mungu atanisamehe
hahahahaaaa umenena pointsAtajiunga au yupo unafiki tu
yule dada namjua mpaka familia yake siwezi sema mengi any way yote maisha
Hivi Vodacom bado wanasponsor haya matusi mpaka leo?
yule anaemtukana leo jamani ni mtu wangu wa karibu sana dah yani siamini
mashallah una jina zuri sana mimi yule dada namjua yule mdogo ndo shostiii na kashaniuzia viatu vya shanga shanga nawapenda sana
mi pia kanikera na mtanange hauishi
Picha ya mama mzazi wa Mange imewekwa IG... Dinazarde
Jestina anakufwa for you kamata hiyo fursa kwanza kabla huyo mamluki hajaja na limbwata lake.
Hihihiiii nifah kwani ukijipendekeza kwa Nyani Ngabu kuna ubaya.?????....atajiju na husda zake km hawezi kujitutumua Nyani Ngabu akamnotice,anaishia kutukana kny blog inahuuuuuu....
Nyani Ngabu kamata fursa hii kabla sijapiga hatua moja mbele.Tatizo nyotaaaaaaaaa...lol...NN anamtaka le super babezzzz,le super mtindizzz,labda zile type za akina zari,lol........kwani Matola una mke????,lol......ole wenu muende kwa sintah na kuanza kuning'ong'a...lol💉💉💉💉💉💉💉💉
Jamani hiyo saa 9 usiku mi hua naota nipo peponi nakula bataa jamaniii sijui nani aniamshe yaan Matola moyo unanienda mbioo Kim nana we ni popo pulizzzz utascreen shot kama ni video downloud then utanipa maubuyu wangu etiiiii mim hua ninalala unaweza nibeba kunitupa popoteeee
Ndio naingiaaa nilikua nasoma nilipoishiaaaaaa
Nyani Ngabu kamata fursa hii kabla sijapiga hatua moja mbele.
Mwaka huu Le Tamkoz linasema hatutaki tena masenior bachelor.
Nasikia Viola kajiua ...