Allah Akbar.
Una undugu na Mungu ww?
Mshirikina hujua wenzie
Ni kaka yangu Mungu unatakaje labda nikutie na dildo au maana naona una nyege
Ha ha ha. At least napata pesa sio kushinda JF kupoteza muda. Na hamuoni ht nyinyi hamna tofauti na Mange kusema watu vibaya
Ujue anatumia tactic ya kuwaumiza watu wako wa karibu, kiboko yake atapatikana tu asio na cha kupoteza wait and see kwa kinje alijidai kaombwa msamaha .....pabaya kunamwita cheater yule
nooo usiseme hvyo yaliyoongelewa mule ni mazito na huezi jua ndgu wamereact vipi ktk hilo suala
mi siwezi sema sana kila mtu na uwezo wake wa kupambanua mambo
Ha ha ha. At least napata pesa sio kushinda JF kupoteza muda. Na hamuoni ht nyinyi hamna tofauti na Mange kusema watu vibaya
Count down show is about to begin, mtakimbia na hamtorudi tena hapa JF.
Prepare coffin for ur boss, is hard to beleive.
Usinifananishe na huyo mentalcase....unadhan mwenye kazi peke yako! Kazi sio lazima kuchambisha vibabu vya kizungu kama manguruwe
Kumtaja Mola wako bila sababu ni ulimbukeni hasa katika upuuzi....
We mwenyewe unashinda humu hiyo kazi wafanya saa ngapiiiii
Anawataza huku anapost
It's a crying shame to see a grown ass man like you get caught up in the middle of a catfight.
What's in it for you, really?
Cut that bullshit man. You should be above that.
miss neddy geniveros DINzarde ladykims Matola nipo insta nasaka habari ili tuthibitishe kajiua kweli ama LA...ila Mange kafuta zile post alizowachamba hawa wadada
na leo wamemuanika mama ake ambe yeye hataki kumueka kutwaa kucha anamuekaga dk mwele chepuko la mzee wake jamani hv hapo unategemea huyo mama ako mlezi akupende kweli?:what:
mange mtoto wa asha mapikipiki woyolll
Ndio huyo mweusi wa upande wa kushoto eeh?
May her soul rest in peace....Aamin!
😂😂😂😂😂😂😂😂Kwenu ni saa ngapi? Unaosha vibabu tu mpaka muda huu...
yaaani ni shhiidaYaani I feel sad For her She should just come to Terms with her Mom above all Things haya mambo mengine hayana maana ni maisha tu!
Nadhani ni uzushi..naomba uwe uzushi. Kama kajiua hii sio nzuri kwa familia yake. Hata kwa Mange sidhani kama angependa mtu ajiue kwa sababu ya michambo yake. Mange pliz stick to Linda, Sinta, Mbuta etc waliozoea hawa watu wapya huwajui.ukute wana depression zao walikuwa wanajiliwaza instagram sasa kama kajiua unalo...thats punishment you gave her didnt fit the crime she committed...anyone with quarter a brain can see that...again i hope hajajiua mtu manake hata sie wapenda umbea tutajisikia vibaya mtu kajiua kwa huu ubuyu
May her soul rest in peace .Amen
mine nimempoteza mama kipindi namhtaji sana sijielewi,kipindi niko mwanafunzi,mdogo tu kuna mda mpaka kesho hua namhtaji sana but its too late
amebaki kunijia ndotoni tu
na mafundisho ya imani zetu "yanasema waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi*
ingine wanasema "pepo ziko chini ya nyayo za wazazi wenu"
mtanisamehe msio na dini sijui kitabu chenu kinasemeje
naumia nikiona mtu hamthamini mzazi hasa mama
nimeenda labour two times naujua uchungu wa mtoto
na mzazi hana kosa kwa mwanawe mange kajizaa?mbona hampendi mama ake
ye si mama yule?hv bhoke akija kumfanyia vile atajiskiaje?
Nadhani ni uzushi..naomba uwe uzushi. Kama kajiua hii sio nzuri kwa familia yake. Hata kwa Mange sidhani kama angependa mtu ajiue kwa sababu ya michambo yake. Mange pliz stick to Linda, Sinta, Mbuta etc waliozoea hawa watu wapya huwajui.ukute wana depression zao walikuwa wanajiliwaza instagram sasa kama kajiua unalo...thats punishment you gave her didnt fit the crime she committed...anyone with quarter a brain can see that...again i hope hajajiua mtu manake hata sie wapenda umbea tutajisikia vibaya mtu kajiua kwa huu ubuyu
Nadhani ni uzushi..naomba uwe uzushi. Kama kajiua hii sio nzuri kwa familia yake. Hata kwa Mange sidhani kama angependa mtu ajiue kwa sababu ya michambo yake. Mange pliz stick to Linda, Sinta, Mbuta etc waliozoea hawa watu wapya huwajui.ukute wana depression zao walikuwa wanajiliwaza instagram sasa kama kajiua unalo...thats punishment you gave her didnt fit the crime she committed...anyone with quarter a brain can see that...again i hope hajajiua mtu manake hata sie wapenda umbea tutajisikia vibaya mtu kajiua kwa huu ubuyu
kama huyo dada kajiua hata michambo ya jf nitakuwa sichochei kuni lol inatisha