Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha. At least napata pesa sio kushinda JF kupoteza muda. Na hamuoni ht nyinyi hamna tofauti na Mange kusema watu vibaya

We mwenyewe unashinda humu hiyo kazi wafanya saa ngapiiiii
 
Ujue anatumia tactic ya kuwaumiza watu wako wa karibu, kiboko yake atapatikana tu asio na cha kupoteza wait and see kwa kinje alijidai kaombwa msamaha .....pabaya kunamwita cheater yule

nooo usiseme hvyo yaliyoongelewa mule ni mazito na huezi jua ndgu wamereact vipi ktk hilo suala
mi siwezi sema sana kila mtu na uwezo wake wa kupambanua mambo

Ni kweli.Hata mimi nimeumia sana alivyomsema viola na wale watoto wake wa kiume.Hivi anajiamini nini yule mpuuzi?
Kamtukana hadi mume wa mtu gorilla na baba yake.Tena hadi mtoto wa watu kua atakua shoga hapo baadaye.
Ila hiyo sio sababu ya kujiua.Isitoshe yule ni mama mtu mzima na ana familia kubwa.Hamuwaonei huruma wale mabinti zake wadogo?
Utu uzima sio umri tu,bali jinsi ya ku handle hard situations kama hii ya leo.Kwa hili siungi mkono kabisa!
 
Ha ha ha. At least napata pesa sio kushinda JF kupoteza muda. Na hamuoni ht nyinyi hamna tofauti na Mange kusema watu vibaya

mda huu biashara imedoda?lete id yako ingine basss

Count down show is about to begin, mtakimbia na hamtorudi tena hapa JF.

Prepare coffin for ur boss, is hard to beleive.

woyooooo

Usinifananishe na huyo mentalcase....unadhan mwenye kazi peke yako! Kazi sio lazima kuchambisha vibabu vya kizungu kama manguruwe

ana ashi majnuuuun

Kumtaja Mola wako bila sababu ni ulimbukeni hasa katika upuuzi....

tena ni dhambi sana

We mwenyewe unashinda humu hiyo kazi wafanya saa ngapiiiii

anaacha kwenda kufagilia kaburi la mama ake!!

Anawataza huku anapost

hahaaaaaaaaaa
 
It's a crying shame to see a grown ass man like you get caught up in the middle of a catfight.

What's in it for you, really?

Cut that bullshit man. You should be above that.

Gossip made Ryan seacrest Rich And famous hähähä gossip lubricates the Society
 
na leo wamemuanika mama ake ambe yeye hataki kumueka kutwaa kucha anamuekaga dk mwele chepuko la mzee wake jamani hv hapo unategemea huyo mama ako mlezi akupende kweli?:what:
mange mtoto wa asha mapikipiki woyolll

Yaani I feel sad For her She should just come to Terms with her Mom above all Things haya mambo mengine hayana maana ni maisha tu!
 
Nadhani ni uzushi..naomba uwe uzushi. Kama kajiua hii sio nzuri kwa familia yake. Hata kwa Mange sidhani kama angependa mtu ajiue kwa sababu ya michambo yake. Mange pliz stick to Linda, Sinta, Mbuta etc waliozoea hawa watu wapya huwajui.ukute wana depression zao walikuwa wanajiliwaza instagram sasa kama kajiua unalo...thats punishment you gave her didnt fit the crime she committed...anyone with quarter a brain can see that...again i hope hajajiua mtu manake hata sie wapenda umbea tutajisikia vibaya mtu kajiua kwa huu ubuyu
 
sure umenena vyema
 
mine nimempoteza mama kipindi namhtaji sana sijielewi,kipindi niko mwanafunzi,mdogo tu kuna mda mpaka kesho hua namhtaji sana but its too late
amebaki kunijia ndotoni tu
na mafundisho ya imani zetu "yanasema waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi*
ingine wanasema "pepo ziko chini ya nyayo za wazazi wenu"
mtanisamehe msio na dini sijui kitabu chenu kinasemeje
naumia nikiona mtu hamthamini mzazi hasa mama
nimeenda labour two times naujua uchungu wa mtoto
na mzazi hana kosa kwa mwanawe mange kajizaa?mbona hampendi mama ake
ye si mama yule?hv bhoke akija kumfanyia vile atajiskiaje?

Ata mimi ndio swali Nilikuwa najiuliza kwakuwa hajamleaa bhoke lake kabinti kanaonekana kana busara na upendo manake amelelewaa na Mama Yake wa kambo naamini ata Huyo mama mlezii ni mtu mwenye roho nzuri
 
Nadhani ni uzushi..naomba uwe uzushi. Kama kajiua hii sio nzuri kwa familia yake. Hata kwa Mange sidhani kama angependa mtu ajiue kwa sababu ya michambo yake. Mange pliz stick to Linda, Sinta, Mbuta etc waliozoea hawa watu wapya huwajui.ukute wana depression zao walikuwa wanajiliwaza instagram sasa kama kajiua unalo...thats punishment you gave her didnt fit the crime she committed...anyone with quarter a brain can see that...again i hope hajajiua mtu manake hata sie wapenda umbea tutajisikia vibaya mtu kajiua kwa huu ubuyu

Yaani mwenyewe I hope ni uzushi tu
 
Yaani hilo analo Hayo ndio matokeo ya Cyber bullying na marekani Teens wengi wanacommit suicide kwasababu ya Cyber bullying
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom