Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Matola tuwekeee video banaaaaa isambae koteeee,,,,,
 
Last edited by a moderator:

Wakati kasema atakae mlaumu kwa kifo chanhuyo mama anachuki binafsi wa kulaumiwa ni linda na mbutananga anajaribu kublame mtu mwingine kwa k osa alilolifanya
 
Last edited by a moderator:
Ugomvi kati yako na linda unachamba kila alotia neno....kwani unadhan wale hawana frnds au fans zao...unajifanya mungu mtu, ulisema betty kauwawa kwa cyberbullying nw this is cyberbullying b.itch! Mkaniandikie gazeti sijiui ng'ooo
 
Duuuuuuuuuuuuu aiseee ana moyo mdogo jamaniii looo yaan msiban atakua simulizi ni mange tu ndio kasababishaaa,haya chacha Mange hatakanyaga Tz maana moto kauwasha aisee

Hana moyo wa kawaida atakuja na atagawa maronya na atafanya dua
 
Wakati kasema atakae mlaumu kwa kifo chanhuyo mama anachuki binafsi wa kulaumiwa ni linda na mbutananga anajaribu kublame mtu mwingine kwa k osa alilolifanya

Kweli Mange wewe hayawaniii....Linda ndie alomtukana viola! Ulisema kaathirika, mbaya, malaya, binti zake future malaya, mmewe mbaya, watoto wake wanamlala, ukatoa picha zake hadi za harusi! Mange hii dunia tu
 
Matola tuwekeee video banaaaaa isambae koteeee,,,,,

Hahahaaaa hivi unakesha humu leo wewe eeh??

Mpambe sana wewe....ngoja na wewe usemwe tuone kama utastahimili.

Lakini kweli mtu unajiua kisa umesemwa vibaya na watu?

Lazima maisha yako yalikuwa ni mabaya in the first place.
 
Jamani kule mange mara am sorry viola mara natoa onyo..
 
Yani naumwa roho sana kuhusu
huyu dada. As much as nilikuwa
nna hasira nae ila nimelia
nikifikira kaacha watoto kwa
sababu ambazo hazikuwa na
msingi.
Yani nimekuwa kama mgonjwa
leo….. I feel like ----. Hiki sio
kitu kizuri kuwa associated
nacho. Although sikumuua mimi
ila kila watu watakapoongelea
kifo cha huyu dada jina langu
litakuwa linatajwa….DAH. wale
vichaa wawili nani anawajua
kwanza? Yani hii issue
itaniangua mimi tu utadhani
mimi ndo nilikuwa namtuma
atukane… Waliokuwa wanamtag
na kumshawishi atukane wala
hawatotajwa ila mimi tu…
VIOLET I HOPE YOU WILL
FORGIVE ME FOR I HAVE
FORGIVEN YOU UNGEJUA
UNGENIPIGIA HATA SIMU YA
KUNIOMBA MSAMAHA KWA
ULICHOKIFANYA KWA MTOTO
WANGU NINGEKUSAMEHE NA
KUTOA ILE POSTI MIMI NI MTU
WA KUOMBA MSAMAHA
NAPOMKOSEA MTU NA HUWA NI
MTU WA KUSAMEHE KWA
HARAKA SANA….SIJUI KUISHI
NA KINYONGO……
R.I.P VIOLET NJAU.
 
Duu according to new post ya mange ni kweli Violet kajiua. May she rest in eternal peace. Mange kasema mme wake huyo dada ndo kampigia. Siamini mtu kafa kwa ujinga kama huu. Laajabu naona kaendelea kuandika maneno mengi nimeshindwa kuyasoma mengine nimeishia hapo pa mumewe aliposema amefariki muhimbili. Duu watoto wale. Damu ya mtu imemwagika pwaaa. Aisee im speechless
 
Hahahaaaa hivi unakesha humu leo wewe eeh??

Mpambe sana wewe eeeh....ngoja na wewe usemwe tuone kama utastahimili.

Lakini kweli mtu unajiua kisa umesemwa vibaya na watu?

Lazima maisha yako yalikuwa ni mabaya in the first place.

Anaonyesha alikuwa na maisha mazuri kibongo bongo aliichambwa sana na Mange na comments watu walikuwa wanamtukana sana yaani pale watu wote wanaomjua walikuwa wanatapika yote mara mchepuko wake umeathirika ni mambo mengi yakusikitisha
 

Anaendelea kumtukana linda na flora na kujikweza kuwa yeyote atakayemtukana atadeal na hadi ukoo wake pia ameapia kuendelea kumchafua mme wa linda na wakwe zake hana akili kabisa...mara I quit this shit mara nawasamehe wote waliotag wenzao mara sorry viola usingemtukana mwanangu nisingeiutukana....viola alimtukana bhoke tusi gani eti@zels?
 
Anaonyesha alikuwa na maisha mazuri kibongo bongo aliichambwa sana na Mange na comments watu walikuwa wanamtukana sana yaani pale watu wote wanaomjua walikuwa wanatapika yote mara mchepuko wake umeathirika ni mambo mengi yakusikitisha

Sasa kama alikuwa hawezi kuyastahmili madongo aliyokuwa anawarushia wengine kwa nini alikuwa anayarusha hayo madongo?

Na kweli imethibitishwa kutoka vyanzo vya kuaminika kuwa amekufa?

Ila bado haingii akilini mtu kujiua (kama ni kweli) kisa ujinga wa kwenye mitandao tena pengine kutoka kwa watu hata wasiokujua.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…