Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weweeeee naomba isiwe kweli jamani au ndo maana katoa zile Post
Whaaat! Matola, jamani Rip Viola! Da, kweli she could not handle such embarassment ukizingatia hakutukana hata neno mpumbavu.....Mange happy Now! Kesho wehu wenzio watakupongeza ila hukumu ya kweli ni hapahapa duniani! You are happy that u have taken a life out of cyber bullying na ukasema huogopi case hatavya defamation!
Ni kweli Dinazarde.... Too sad she died at muhimbili baada ya kunywa sumu juhudu za kuokoa maisha yake hazilufanikiwa
Duuuuuuuuuuuuu aiseee ana moyo mdogo jamaniii looo yaan msiban atakua simulizi ni mange tu ndio kasababishaaa,haya chacha Mange hatakanyaga Tz maana moto kauwasha aisee
Wakati kasema atakae mlaumu kwa kifo chanhuyo mama anachuki binafsi wa kulaumiwa ni linda na mbutananga anajaribu kublame mtu mwingine kwa k osa alilolifanya
Hana moyo wa kawaida atakuja na atagawa maronya na atafanya dua
What the hell?
Yaani mtu kajiua kisa kasemwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii?
Seriously?
Matola tuwekeee video banaaaaa isambae koteeee,,,,,
Hahahaaaa hivi unakesha humu leo wewe eeh??
Mpambe sana wewe eeeh....ngoja na wewe usemwe tuone kama utastahimili.
Lakini kweli mtu unajiua kisa umesemwa vibaya na watu?
Lazima maisha yako yalikuwa ni mabaya in the first place.
Duu according to new post ya mange ni kweli Violet kajiua. May she rest in eternal peace. Mange kasema mme wake huyo dada ndo kampigia. Siamini mtu kafa kwa ujinga kama huu. Laajabu naona kaendelea kuandika maneno mengi nimeshindwa kuyasoma mengine nimeishia hapo pa mumewe aliposema amefariki muhimbili. Duu watoto wale. Damu ya mtu imemwagika pwaaa. Aisee im speechless
What the hell?
Yaani mtu kajiua kisa kasemwa vibaya kwenye mitandao ya kijamii?
Seriously?
Anaonyesha alikuwa na maisha mazuri kibongo bongo aliichambwa sana na Mange na comments watu walikuwa wanamtukana sana yaani pale watu wote wanaomjua walikuwa wanatapika yote mara mchepuko wake umeathirika ni mambo mengi yakusikitisha