Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

Mange Kimambi na Sinta hawa wote hawana akili kichwani.

Namshukuru Mungu sina stimu kabisa ya kupita kusoma ujinga wao kwenye viblog vyao uchwara.
 

my dia hata mim kuna vitu navipenda lakini linapokuja swala la mwanangu naachaga kila kitu........nakuwa mgumu kuelewa siyo kama namtetea bali naona haiwezekaniki.....ni wamama wachache wenye roho ya ukatili wa namna hiyo kwa watotot wake........ukute muda anaandika gazeti ameshawaweka watoto wake sawa.....huyo keanu kashashiba ....kamelala......ni ngumu kuamini......
 
Yule ana mental case si bure wivu gani huo hataki kuona mwanamke mwenzie kamzidi. Alimsakamsakama Shamimu wa watu wee mpaka kachoka na shamimu hakuwahi kumjibu. Ana matatizo sana Zari mwenyewe hata hajui kama kuna kiumbe kinaitwa Mange kinaexisist. Anakera chefuuuuu.
 
Hajaongeza chumvi tena wengine kawasahau kama yule binti mrembo alikuwa anatangaza itv jackpot bingo nimemsahau jina ameolewa na mzungu yuko marekani nadhani. Yaani al
Duh!

Hujaongeza vikolezo kwqeli?

Yaani mtu mmoja anagombana na watu wote hao?
 

matatizo yameisha as amerusha post ya Daimond baada ya maneno hayo uliyom quote

yaani na kuandika yote haya na walionsalia kumbe yupo anasaka umbeya, nimeon kwa group whatsapp wamemnoti kuwa eeh, nami nikashangaa as nilisoma hayo juu.

DUH HUYU BI MAMA MANGE KWELI KUNA KITU KINAMSUMBUA KICHWANI....
 
Mrembo bilionea! Zarinah the Boss lady!
Kawanyima usingizi! Hako kapare kamekomaa uso hadi miguu kanawivu sana!
Kakiwa kazee katakua kigagula hako!
 

Nahisi aliandika ile post ili kutu divert from this thread.
 
 
Mange amekomaa na Zari,jana alipost sijui ana stress atapumzika!Naona kakomaa naye bado kah!!Atleast Zari na habari zake zinamwondoa upweke!!
 
Mange amekomaa na Zari,jana alipost sijui ana stress atapumzika!Naona kakomaa naye bado kah!!Atleast Zari na habari zake zinamwondoa upweke!!

Mange angekuwa ni either mdogo wangu ningemshauri afunge mdomo wake kabisa, Baba yake Mzee Kimambi alijiuwa kwa aibu hivi huyu binti anapata wapi gutts za kushambulia watu.

Nadhani ni Mental case.
 
Mange angekuwa ni either mdogo wangu ningemshauri afunge mdomo wake kabisa, Baba yake Mzee Kimambi alijiuwa kwa aibu hivi huyu binti anapata wapi gutts za kushambulia watu.

Nadhani ni Mental case.

Hizo habari mnazipata wapi? nimewavulia kofia
 
Hizo habari mnazipata wapi? nimewavulia kofia

Ukiona watu wanapost udaku hapa sio kwamba wana miujiza fulani ngoja nikusaidie,kama haupo IG kama mzee mimi tembelea sintah.com,u-turn,udaku specially,umbeya mtupu, na kwa kufupisha muda nenda global pubishers!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…