Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sintah na Zari ni marafiki miaka mingi.
Mie nimemjulia Zari kwa kumuona Sintah anampost kwa blog yake na anakujaga TZ wanauwa wote kwa miaka mingi sasa.
Nakumbuka hata kwenda kum google kumsoma zaidi baada ya maelezo yake.
Wengi wanamshangaa ila how come maisha ya Dai na Zari ayaweke nje nje? y amuogope rafiki yake, je rafiki ndio aache watu wampake.
Kama wewe Zari kakukosea nini hadi useme hayo kuwa Sintah anamuogopa? utapata faida gani akiacha watu mumtukane mtu msiyemjua ambaye ni rafiki yake? kawaibia mabwana? NO. kawatukana NO, wivu YES, roho mbaya YES, etc hii imewajawa wengiiiii
Mange Kimambi na Sinta hawa wote hawana akili kichwani.
Namshukuru Mungu sina stimu kabisa ya kupita kusoma ujinga wao kwenye viblog vyao uchwara.