hahaaaa mpaka mwana JF.. huyo lazima ni member na mfatiliaji wa mambo tu huku
Boga halinyeki hapaaaaaa,hushibi mpaka ubanane na mimi hahahahaha bibie u non existing factor we endelea kujiquotisha hapaaa
Karibu sana,,,,chachandu ipo kwa wingii ,napata na wateja sasaa yeruu, halaf wengine ukitaka nakutumia kabisaa utapokea pale ubungo
Ha ha ha wengine aliotuongelea tulikuwa tunataka ukweli kutoka kwa watu wayajuayo akiwemo cacico.......
Sasa aje humu kuchamba kama tutamuacha
kama boga halinyeki kunya Tikiti
hutaki kuona quotes zangu put me on ignore list.. SIMPLE LIKE THAT
hahaaaaaa kwenye boksi pia nahitaji
kule u turn ushatangaziwa soko shoga la samaki wako
Aaaah ni vitu vya kawaida by the Way mie sibebi mabox sorry For that ila ni vitu vya kawaida kuwa na viwanja sio ishu i just Dont know What kama wakina Mange if she was happy with all that she Never needed to Bully anyone And by the Way Kuna wanawake wengi wana majumba ya nguvu wamejenga kwa pesa zao wenyewe Tz so mie Bado sijamzimia sana ila namzimia mwavitaa kwakweli
huku hawezi kuja si ndio maana kakimbilia huko......
kichambo chake angekimbia
hahaaaa mpaka mwana JF.. huyo lazima ni member na mfatiliaji wa mambo tu huku
HhhhhhAaaa vunja mbavu ya mwaka kuanza Matola eee yaan sina mbavu, ,,,
Hao wamama ujawajulia wao ni watu wakiwatumia habari kwa nyuma ya pazia ndio wanarusha, sasa ziwe ungo au ukweli wao hata hawajali kudhibitisha ndio maana zinakwenda mbele.
so zingine ni siri za watu close na mmoja wanarusha kwa adui na ukweli unamuuma nae anasaka wanaendelea... kwa mie ndio nimeona sijui watamalizanaje.
uamuzi ni wao na wao ndio wanajua ukweli kwa lisemwalo na mwingine, wengine woteeee na wadaku wao ni kuangalia kujsomea kama burudani.
mxiuuuuuuuuuuu! wameweka mambo yao nje, so wanachosemana watajiju wakiongelewa na watu na wakijaji, mfano mie nani kusema ni uongo au ukweli. mie pia najifunza na kiswahili maana maneno mengine hata sikujua kama yapo.
hahahahaaaaassss watuuu pipoooooooo
mpoooooo haya ila lara na wenzenu hebu acheni mikwara bubu bwana
mnitafute facebook kwikwikiweee
halafu yani mnaotea otea sana hamna ht uhakika na mnachoongea nasubiri kichambo mniongezeeee umaarufu
ila kichambo chenu ni cha anonimas sasa maana ht mfanyeje hamtonijua mmebaki na labdaaaa...
labda mumloby dinazarde km atakubali
ila na ye ndo mke muuza samaki sasa dohooo
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mikwara bubu? Muulize Muke ya King kong na Vai Mparadoooo. Sumu ya panya inageuka pepsi. Yenu yakikaa hadharani mnazimia hata kuchutuma hamuweziiiii. Pole sanaaaa yani huyo uliemuamini bora hata ungeita mkutano PM ukawaamini watu woteeeeeeee kasoro huyo mmoja! Ushasambazwa Ahera na Duniani. Hahahaaaaaaaaa! Just kaa ukijua Pm zasomwa hatari, na jamvi hili ni la binadamu na binadamu hawaaminiki. Ticha mi ningekuwa wewe ningeanza kuwapa counselling wakiona kikundi kinakuja kukufata kwenye pindi waanze kupipa myowe na kurusha madaftari, kompasi, penseli, chaki, chochote walicho nacho, na duster walifiche maana watakupaka nalo usoni.πoa
Sio kosa lake HIS DAD WAS RICH, ndo kesharithi, aliekunyima wewe a lindapapa ndo kamgea yeye. Pesa pesa tu kwani ya urithi inakataliwa dukani? Nyie ndo muhangaike mkilegea mtakufa njaaa, yeye kesha hangaikiwa. Hivi hizo box zina sh ngapi ya kununua heka 200 Mbweni? Au heka 2 Africana barabarani pale? Si ndoto za mchana hizo. She was lucky period.
kila nikipita africana namkumbuka lala na mange wake,aaaah
Hahahaaasaaasasaas
haya bas nawaruhusu kiroho safiiiii
yule mke wa king kong mbona namjuaaa na mdogo wake
sa sijui mi ntaitwa mke ya rhino
Haahhahahaaaaaaaaa! Muke ya rhino? Muke ya Tembo! Hahahaaaaaaaaaaaa! Mama mkwe kama alikuwa anatafuta sababu ya kukuvulia nguo akuachie radhi siku hiyo anakuja mtupu mtupu toka nyumbani kwake. Hahahaaaa! Sipati picha.
Heheheheheh we fyotola fyotola tuuuu,toka mwaka Jana mpaka leo umenibeba tu,kukuignore ni kitambo sana sinaga mda na unachoandika humu umejiquotishaaa mwenyeweeee which makes me happy....tuliza kipapaaa si umechagua mwenyewe kuniquote utakunya weye hayo maboga na matikiti punguza hashuo mtoto wa kike shomboooo hadi kwa female wenzako inahuuuuuu
brenda18 quoted Heaven on Earth in post Re: Zari white party
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge l...
Nimependa personality yako na majibu yako pia
Mbona mnajipa umuhimuuuuuuuuu MSIOKUWA NAO? Aje huku kufanya nini wkati WATOTO WA MAKUPUKUUUUUUU, WASHIKA CHAKI, MAFUKARA WAKUBWA (hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) mmejaa humu celebrity. Masikini wakubwa mpaka mnajificha nyuma ya ID midomo mirefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! ASIE MASKINI AWEKE JINA LAKE KAMILI, NA WHAT HIS PAPITO HAS IN THIS TOWN! Hahahaaaaaaaaaa! Nyooooooooooooooooo! WATIZAME KWANZA MMJIFICHA AFU MNAPAMBANA NA WALIO LIVE. KAMA MNA JEURI TOKENI LIVE, KAMA HATUJAZIMIA KWA CHEKO! Halooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Ya washika duster.