Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hahahahah wewe mie nipanik na fake ID si ntapagawaaa,sina habareeee naona unavyojiquotishaaa,bibie mie jf ni kutoa stress siwezi kujistress na mambo ya humu twendeee endelea kujibu we si ndio umeanzaaa

Acheni hizo swaga bwana....si yameisha!!
 
brenda18 na Heaven on Earth just ignore your misunderstanding jamani...

Hahahaa ushangae wewe kati ya woteee kachagua kuniquote mimi kumbe av been a hot cake toka siku hioooo mabwakuuuu ukisikia watu kujizeesha na mambo ya past wakati mie sina habareeee,hivi Dinazarde nikumbushe ulikuwa mwezi gani ule last year nshasahau mie kumbe mtu alinibeba halooooo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaa! Mi nilienda kistaarabu sasa wakaomba ndevu kwa Osama, do nikawaonesha na mimi nimekaa uzaramoni. Mwalimu ana mdomo mrefu sanaaaaaa kuishupalia hii ishu, afu mwalimu watu wanamjua in ze PM, mpaka shule yake wanaijua. Kilichobaki kumsearch facebook to mwalimu kindumbwe ndumbwe na duster lake mkono mmoja, mkono mwingine chaki. HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! Patamuje hapooooooooo! Sasa hyo mwalimu kama ni geni au sio bado sijajua manake humu nimo kama simo, ndo nausoa kwanza mchezo.

Ujue shule haidanganyi, kweli yule msomi kuliko Linda halina ubishi, ex drug dealer na MBA wapi na wapi? Linda ndo lafa anashinda kutaja viungo vya uzazi tu, mwenzie anampa fact za maisha , ampeleke mtoto shule yule.

Acha umbea na ushabiki wakitoto. Uyoo Mange anakulipa nini au nikujipendekeza tuu?
 
Hahahaa ushangae wewe kati ya woteee kachagua kuniquote mimi kumbe av been a hot cake toka siku hioooo mabwakuuuu ukisikia watu kujizeesha na mambo ya past wakati mie sina habareeee,hivi Dinazarde nikumbushe ulikuwa mwezi gani ule last year nshasahau mie kumbe mtu alinibeba halooooo

Jamani yaishe Brenda, ,,mi nishasahau ni nikukumbusheee!!
 
Last edited by a moderator:
Mie mwenyewe nshasahauuuu ngoja tuachie wanaokumbukaaaa
Ivi samaki wako unauza sa ngapi mbona mda wote upo na smartfon yako we mke wa kisukuma weee uza samaki hukooo Hahahaa

Nipo nauzaa, ,,,huku nachart mambo mapyaaaa,,
 
Hahahaaaaaaaa! Ukisikia paaaaaaaaa ujue mwalimu alietiwa bicha likavimba kama puto kapingwa na sindano ya kichambo!😛oa Ualimu wito nafahamu hilo ila MWALIMU MCHAMBAJI hilo jipyaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaaa!

Afu najribu kuimagine yule aliepeleka ile habari ya mwali kule ni ID ya nani humu? Na lazima ni mtu anashinda humu celebrity, nina muhisi Haven on Earth, lakini HOE nini team Mrs Sembe asingeweza kumtetea Mange, Bado napeleleza miandiko, nimjue nicheke vizuri.

hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN
 
Hahahahah wewe mie nipanik na fake ID si ntapagawaaa,sina habareeee naona unavyojiquotishaaa,bibie mie jf ni kutoa stress siwezi kujistress na mambo ya humu twendeee endelea kujibu we si ndio umeanzaaa

ni stressike na wewe over my dead body......
na ku quote kama unavyoni quotigi hujapenda kunya tikiti
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom