miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Hahahahah wewe mie nipanik na fake ID si ntapagawaaa,sina habareeee naona unavyojiquotishaaa,bibie mie jf ni kutoa stress siwezi kujistress na mambo ya humu twendeee endelea kujibu we si ndio umeanzaaa
Acheni hizo swaga bwana....si yameisha!!