Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Boga halinyeki hapaaaaaa,hushibi mpaka ubanane na mimi hahahahaha bibie u non existing factor we endelea kujiquotisha hapaaa

kama boga halinyeki kunya Tikiti
hutaki kuona quotes zangu put me on ignore list.. SIMPLE LIKE THAT
 
kama boga halinyeki kunya Tikiti
hutaki kuona quotes zangu put me on ignore list.. SIMPLE LIKE THAT

Heheheheheh we fyotola fyotola tuuuu,toka mwaka Jana mpaka leo umenibeba tu,kukuignore ni kitambo sana sinaga mda na unachoandika humu umejiquotishaaa mwenyeweeee which makes me happy....tuliza kipapaaa si umechagua mwenyewe kuniquote utakunya weye hayo maboga na matikiti punguza hashuo mtoto wa kike shomboooo hadi kwa female wenzako inahuuuuuu
 
gahahaha lara 1 mbona unakuja usiku wa manane watu wamelala haha njoo mapema bhana nipe nikupe ndo tam nakaanga popcorn kesho usikose

Hahahahaaaaaaa! Nilitoka U trn ndo nikaona, nikasema nije nimcheki mshika duster na chaki.
 
Aaaah ni vitu vya kawaida by the Way mie sibebi mabox sorry For that ila ni vitu vya kawaida kuwa na viwanja sio ishu i just Dont know What kama wakina Mange if she was happy with all that she Never needed to Bully anyone And by the Way Kuna wanawake wengi wana majumba ya nguvu wamejenga kwa pesa zao wenyewe Tz so mie Bado sijamzimia sana ila namzimia mwavitaa kwakweli

Vya kawaida BABA ZENU wewe na Lindapapa pamoja nakuishi maisha marefu wanavyooooo?
 
huku hawezi kuja si ndio maana kakimbilia huko......

kichambo chake angekimbia

hahaaaa mpaka mwana JF.. huyo lazima ni member na mfatiliaji wa mambo tu huku

Mbona mnajipa umuhimuuuuuuuuu MSIOKUWA NAO? Aje huku kufanya nini wkati WATOTO WA MAKUPUKUUUUUUU, WASHIKA CHAKI, MAFUKARA WAKUBWA (hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) mmejaa humu celebrity. Masikini wakubwa mpaka mnajificha nyuma ya ID midomo mirefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! ASIE MASKINI AWEKE JINA LAKE KAMILI, NA WHAT HIS PAPITO HAS IN THIS TOWN! Hahahaaaaaaaaaa! Nyooooooooooooooooo! WATIZAME KWANZA MMJIFICHA AFU MNAPAMBANA NA WALIO LIVE. KAMA MNA JEURI TOKENI LIVE, KAMA HATUJAZIMIA KWA CHEKO! Halooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Ya washika duster.
 
Hao wamama ujawajulia wao ni watu wakiwatumia habari kwa nyuma ya pazia ndio wanarusha, sasa ziwe ungo au ukweli wao hata hawajali kudhibitisha ndio maana zinakwenda mbele.

so zingine ni siri za watu close na mmoja wanarusha kwa adui na ukweli unamuuma nae anasaka wanaendelea... kwa mie ndio nimeona sijui watamalizanaje.

uamuzi ni wao na wao ndio wanajua ukweli kwa lisemwalo na mwingine, wengine woteeee na wadaku wao ni kuangalia kujsomea kama burudani.

mxiuuuuuuuuuuu! wameweka mambo yao nje, so wanachosemana watajiju wakiongelewa na watu na wakijaji, mfano mie nani kusema ni uongo au ukweli. mie pia najifunza na kiswahili maana maneno mengine hata sikujua kama yapo.

Wewe nawe hii IQ yako nawasiwasi nayo! Watu wa siri wapi? Hivi wewe mtu akikutumia habari ya siri kaka yako shoga utaiamini tu coz umetumiwa? Bila ushahidi wala vigezo, kurupuuuuuuuuu ushaiamini?
 
hahahahaaaaassss watuuu pipoooooooo
mpoooooo haya ila lara na wenzenu hebu acheni mikwara bubu bwana
mnitafute facebook kwikwikiweee
halafu yani mnaotea otea sana hamna ht uhakika na mnachoongea nasubiri kichambo mniongezeeee umaarufu
ila kichambo chenu ni cha anonimas sasa maana ht mfanyeje hamtonijua mmebaki na labdaaaa...
labda mumloby dinazarde km atakubali
ila na ye ndo mke muuza samaki sasa dohooo

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mikwara bubu? Muulize Muke ya King kong na Vai Mparadoooo. Sumu ya panya inageuka pepsi. Yenu yakikaa hadharani mnazimia hata kuchutuma hamuweziiiii. Pole sanaaaa yani huyo uliemuamini bora hata ungeita mkutano PM ukawaamini watu woteeeeeeee kasoro huyo mmoja! Ushasambazwa Ahera na Duniani. Hahahaaaaaaaaa! Just kaa ukijua Pm zasomwa hatari, na jamvi hili ni la binadamu na binadamu hawaaminiki. Ticha mi ningekuwa wewe ningeanza kuwapa counselling wakiona kikundi kinakuja kukufata kwenye pindi waanze kupipa myowe na kurusha madaftari, kompasi, penseli, chaki, chochote walicho nacho, na duster walifiche maana watakupaka nalo usoni.😛oa
 
Hahahaaasaaasasaas
haya bas nawaruhusu kiroho safiiiii
yule mke wa king kong mbona namjuaaa na mdogo wake
sa sijui mi ntaitwa mke ya rhino
 
Sio kosa lake HIS DAD WAS RICH, ndo kesharithi, aliekunyima wewe a lindapapa ndo kamgea yeye. Pesa pesa tu kwani ya urithi inakataliwa dukani? Nyie ndo muhangaike mkilegea mtakufa njaaa, yeye kesha hangaikiwa. Hivi hizo box zina sh ngapi ya kununua heka 200 Mbweni? Au heka 2 Africana barabarani pale? Si ndoto za mchana hizo. She was lucky period.

kila nikipita africana namkumbuka lala na mange wake,aaaah
 
Hahahaaasaaasasaas
haya bas nawaruhusu kiroho safiiiii
yule mke wa king kong mbona namjuaaa na mdogo wake
sa sijui mi ntaitwa mke ya rhino

Haahhahahaaaaaaaaa! Muke ya rhino? Muke ya Tembo! Hahahaaaaaaaaaaaa! Mama mkwe kama alikuwa anatafuta sababu ya kukuvulia nguo akuachie radhi siku hiyo anakuja mtupu mtupu toka nyumbani kwake. Hahahaaaa! Sipati picha.
 
ni shidddaassw nasubira mchambo hapa wa hajaaa
ila mkija mje vizuri na mjipange kisawasawa msije na shungi nikawatoa na viremba bureee
mjiangalieee,mjipangeeeeeeee
tena mrudishe majeshi nyuma then ndo mukujeee
 
Heheheheheh we fyotola fyotola tuuuu,toka mwaka Jana mpaka leo umenibeba tu,kukuignore ni kitambo sana sinaga mda na unachoandika humu umejiquotishaaa mwenyeweeee which makes me happy....tuliza kipapaaa si umechagua mwenyewe kuniquote utakunya weye hayo maboga na matikiti punguza hashuo mtoto wa kike shomboooo hadi kwa female wenzako inahuuuuuu

brenda18 quoted Heaven on Earth in post Re: Zari white party
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge l...

Nimependa personality yako na majibu yako pia

anaye ni ignore huyu....... ku ignore mchezo
kuita wengine Pathetic uliona sawa.. we umeambiwa
ur act was pathetic umepanik..
 
Mbona mnajipa umuhimuuuuuuuuu MSIOKUWA NAO? Aje huku kufanya nini wkati WATOTO WA MAKUPUKUUUUUUU, WASHIKA CHAKI, MAFUKARA WAKUBWA (hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) mmejaa humu celebrity. Masikini wakubwa mpaka mnajificha nyuma ya ID midomo mirefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! ASIE MASKINI AWEKE JINA LAKE KAMILI, NA WHAT HIS PAPITO HAS IN THIS TOWN! Hahahaaaaaaaaaa! Nyooooooooooooooooo! WATIZAME KWANZA MMJIFICHA AFU MNAPAMBANA NA WALIO LIVE. KAMA MNA JEURI TOKENI LIVE, KAMA HATUJAZIMIA KWA CHEKO! Halooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Ya washika duster.

hatujaamua kutoka tu watu na status zetu mjini mashauzi hatuna kwi kwi kwi kicheko cha pesa hicho angalia usiharibu kazi za boss huko maana akikukuta upo jf no maelezo mkono hautaenda kinywani huo ohooooo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom