Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Hahahahah wewe mie nipanik na fake ID si ntapagawaaa,sina habareeee naona unavyojiquotishaaa,bibie mie jf ni kutoa stress siwezi kujistress na mambo ya humu twendeee endelea kujibu we si ndio umeanzaaa

Acheni hizo swaga bwana....si yameisha!!
 
brenda18 na Heaven on Earth just ignore your misunderstanding jamani...

Hahahaa ushangae wewe kati ya woteee kachagua kuniquote mimi kumbe av been a hot cake toka siku hioooo mabwakuuuu ukisikia watu kujizeesha na mambo ya past wakati mie sina habareeee,hivi Dinazarde nikumbushe ulikuwa mwezi gani ule last year nshasahau mie kumbe mtu alinibeba halooooo
 
Last edited by a moderator:

Acha umbea na ushabiki wakitoto. Uyoo Mange anakulipa nini au nikujipendekeza tuu?
 

Jamani yaishe Brenda, ,,mi nishasahau ni nikukumbusheee!!
 
Last edited by a moderator:
Mie mwenyewe nshasahauuuu ngoja tuachie wanaokumbukaaaa
Ivi samaki wako unauza sa ngapi mbona mda wote upo na smartfon yako we mke wa kisukuma weee uza samaki hukooo Hahahaa


Nipo nauzaa, ,,,huku nachart mambo mapyaaaa,,
 

hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN
 
Hahahahah wewe mie nipanik na fake ID si ntapagawaaa,sina habareeee naona unavyojiquotishaaa,bibie mie jf ni kutoa stress siwezi kujistress na mambo ya humu twendeee endelea kujibu we si ndio umeanzaaa

ni stressike na wewe over my dead body......
na ku quote kama unavyoni quotigi hujapenda kunya tikiti
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…