Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

hahaaaaaaaaa walimu hoyeeeeeeee watoto washatoka shule leo 6:30
walimu tunapiga umbea kama kawaa...... tuambie huo umbea maana leo muda tunao

btw umenichekesha skuna na sketi ya marinda hahaaaaaaa
 

hahaasswsaa mchambaji kabisa!!
aliyepeleka atajijua mwenyewe mi nna habariii bass
nimelikubi jina lara kiroho safiiii
ila waambie kurisit sasa hv elf 65 wajipige na certificate za usekretari hizo hizo zoom pale na serikali sasa hv ualimu primary hawataki certificate km mie wanachukua diploma so tell them(sijui nimepatia) wajaribu uaskari labda au kilimo labda
 
Last edited by a moderator:
anataka kusifiwa sa hivi anavyo mchamba Linda anataka asifiwe
ukisema kinyume utaona jibu lake au BAN ya milele inakuhusu................

Ila tumuoneeni huruma jamani, kalelewa na mama wa kambo yule...si unajua mama wa kambo hawajui kusifia? kila utalofanya unaonekana mbayaa...akisifiwa anapata faraja yani...

Mwalimu wa zamu geniveros njoo tu apply reinforcement..... haya Mpigieni makofi Da Mange kapendeza....hongeraaaa, hongeraaaa, waaaaaa!

Hapana chezea Teaching psychology....
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN

Hivi kwa mfano kwenye blog uchwara ya Mange ucoment nini mule?

ule ni uwanja wake wa nyumbani na misukule yake kufarijianana kupungaza misongo ya mawazo iliyowajaa.

Hivi mwanamke na akili zako unamponda Leyla siyo mzuri wakati Madume ya mbegu tukimuona kwenye picha tu libolo linasimama.
 

we si unaona kule wanavyomsifia...............

ukileta Negativity unalo...... mwalimu wa zamu ukuje huku
 
Anayewasema walimu ni pumbavu kabisa, Taifa bila walimu watoto witu watafundishwa na mikundu yao?

Ndo hapo sasa.......wamepotezwa maboya anajifanya anajua watu.Wanajua watu kwa story za jf nachekaje sasa?oh fulani Mwalimu Fulani anauza samaki haya mwenzetu pilipili unauza nini?
 

Stop.....huku maaskari wenyewe tupo makini....jeshi la polisi halifanyi recruitment kama zamani mtu akicheza mziki vizur basi anabebwa.Tupo makini sasa hv over afande
 

Yaani Mange angekuwa anaingiza pesa kwa kuchambaa watu kama wakina Ryan seacrest au Wendy Williams dada angekuwa na maghorofa ya haja sio Siri ila ni Frustrations zinamsumbua msameheni bure
 
Sio kweli walimchezeaa akili tu mama ubaya

Ndo ingekuwa fundisho kwao kutotukanana.Ukipitia ile screenshot ya hao wanaotukanana hawamjui huyo marehemu vizuri wakaanza kusakiziana kuwa effort la kundi Fulani ndo limesababisha
 
Stop.....huku maaskari wenyewe tupo makini....jeshi la polisi halifanyi recruitment kama zamani mtu akicheza mziki vizur basi anabebwa.Tupo makini sasa hv over afande

Hahahaa mie hoiiii hukuuu....basi waendelee kushinda Dating sites labda wataopoa mzunguu...waende wakapewe kazi ya kunanihiii na Mbwaa....

Manake wanataka maisha ya juu, elimu yenyewe ya zooom na vyeti sita vya kurisiti nectaaa.....
 

Hahahahaaaaa watu wana wivu sana.Mimi pia nashangaa eti Lelya mbaya.Nani mzuri Mange?
Aisee watu wana utani wa kifo.
 
Hahahaa mie hoiiii hukuuu....basi waendelee kushinda Dating sites labda wataopoa mzunguu...waende wakapewe kazi ya kunanihiii na Mbwaa....

Manake wanataka maisha ya juu, elimu yenyewe ya zooom na vyeti sita vya kurisiti nectaaa.....

Huko ndo waende....sio kujambisha jambisha hapa.
 
Ndo hapo sasa.......wamepotezwa maboya anajifanya anajua watu.Wanajua watu kwa story za jf nachekaje sasa?oh fulani Mwalimu Fulani anauza samaki haya mwenzetu pilipili unauza nini?

Kweli unauliza kazi ya pilipili?
Analilia nini kwa Nyani Ngabu?
 
hahaaaaaaa Mpwa umeambiwa upunguze kushinda JF kupiga umbea LOL

Yani miye ndio waniache miaka 100 watu tuna bima za maisha na wala kwenye Kundi la kutafuta maisha Mimi simo, Mimi naishi sitafuti maisha.

Umenisoma mpwa? Yule ngedere anadhani kila mtu ana akili kama zake za kutambia ukwasi wa wazazi, watu hawana mpango kuexpose mambo ya kifamilia.

Last weekend nilikwenda kuwatembelea wazazi mshuwa akanipa smartphone lake nimsetie vitu fulani kwenye previous history nikakuta huwa anaingia JF na ya JF for Android kaipakuwa.

Zamani ilikuwa ukisikia watoto wa kota Mimi ni mmojawapo sasa napata tabu kuelewa mtu aliyezaliwa kwenye silver spoon family Kuwa na roho ya kichawi.
 
Wewe nawe hii IQ yako nawasiwasi nayo! Watu wa siri wapi? Hivi wewe mtu akikutumia habari ya siri kaka yako shoga utaiamini tu coz umetumiwa? Bila ushahidi wala vigezo, kurupuuuuuuuuu ushaiamini?

sasa mimi na Intelligence quotient tena kwenye udaku wa wamama wanao act kama wanamengi zaidi ya ndani yao zaidi ya marumbano na kuandika upuuzi vinani huu nini?, mie nikae chini kuamini sijui kutoamini maana vyote havinilishi wala haviniingizii pesa kwangu mie burudani chukua nilichoandika au pita kimya.... siwezi fatiliana na hasira kuweka kwa maisha ya wengine labda kama na wewe ni muhusika ndio nitaelewa y unataka kubishana sijui uongo sijui kweli watajiju. kwani mashoga si wamejaa siku hizi hata hapa bongo wapo nje nje na haikuwa hivi miaka ya zamani. hata ulaya tumeyaona la kushangaa nini kama uamuzi wa mtu ameamua hivyo? ni Kuomba Mungu tu kwa mengi duniani na kuishi kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…