Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN
Hahahaaaaa...nime assume jf kungekuwa na ban kama hizo, asingebaki MTU...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN
Hahahahaaaaaaaaa! Kama nakuona na skuna zako, sketi ya marinda, chaki zao na duster mkononi mda huu. Kama mtu wa maana vile, kumbe mchambaji wa Jf! Hahahahaaaaaaaaaa!
Afu nilishau umbea wa kina madina mtaujuaje wakati mmekuja mjini juzi na mbio za mwenge au maloi ya kabichi? Haahahaaaaa!😛oa
Hahahaaaaa...nime assume jf kungekuwa na ban kama hizo, asingebaki MTU...
Anayewasema walimu ni pumbavu kabisa, Taifa bila walimu watoto witu watafundishwa na mikundu yao?
Hahahaaaaaaaa! Ukisikia paaaaaaaaa ujue mwalimu alietiwa bicha likavimba kama puto kapingwa na sindano ya kichambo!😛oa Ualimu wito nafahamu hilo ila MWALIMU MCHAMBAJI hilo jipyaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaaa!
Afu najribu kuimagine yule aliepeleka ile habari ya mwali kule ni ID ya nani humu? Na lazima ni mtu anashinda humu celebrity, nina muhisi Haven on Earth, lakini HOE nini team Mrs Sembe asingeweza kumtetea Mange, Bado napeleleza miandiko, nimjue nicheke vizuri.
Kula hela ya urithi acha sie wenye elimu tusololeke....tupinde migongo na kubinuka binuka...
anataka kusifiwa sa hivi anavyo mchamba Linda anataka asifiwe
ukisema kinyume utaona jibu lake au BAN ya milele inakuhusu................
hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN
Ila tumuoneeni huruma jamani, kalelewa na mama wa kambo yule...si unajua mama wa kambo hawajui kusifia? kila utalofanya unaonekana mbayaa...akisifiwa anapata faraja yani...
Mwalimu wa zamu geniveros njoo tu apply reinforcement..... haya Mpigieni makofi Da Mange kapendeza....hongeraaaa, hongeraaaa, waaaaaa!
Hapana chezea Teaching psychology....
Anayewasema walimu ni pumbavu kabisa, Taifa bila walimu watoto witu watafundishwa na mikundu yao?
Me akili yangu huyo binti sijui mama Viola aliyetaka kujiua ingekuwa fundisho kwao
hahaasswsaa mchambaji kabisa!!
aliyepeleka atajijua mwenyewe mi nna habariii bass
nimelikubi jina lara kiroho safiiii
ila waambie kurisit sasa hv elf 65 wajipige na certificate za usekretari hizo hizo zoom pale na serikali sasa hv ualimu primary hawataki certificate km mie wanachukua diploma so tell them(sijui nimepatia) wajaribu uaskari labda au kilimo labda
Hivi kwa mfano kwenye blog uchwara ya Mange ucoment nini mule?
ule ni uwanja wake wa nyumbani na misukule yake kufarijianana kupungaza misongo ya mawazo iliyowajaa.
Hivi mwanamke na akili zako unamponda Leyla siyo mzuri wakati Madume ya mbegu tukimuona kwenye picha tu libolo linasimama.
Sio kweli walimchezeaa akili tu mama ubaya
Stop.....huku maaskari wenyewe tupo makini....jeshi la polisi halifanyi recruitment kama zamani mtu akicheza mziki vizur basi anabebwa.Tupo makini sasa hv over afande
Hivi kwa mfano kwenye blog uchwara ya Mange ucoment nini mule?
ule ni uwanja wake wa nyumbani na misukule yake kufarijianana kupungaza misongo ya mawazo iliyowajaa.
Hivi mwanamke na akili zako unamponda Leyla siyo mzuri wakati Madume ya mbegu tukimuona kwenye picha tu libolo linasimama.
Hahahaa mie hoiiii hukuuu....basi waendelee kushinda Dating sites labda wataopoa mzunguu...waende wakapewe kazi ya kunanihiii na Mbwaa....
Manake wanataka maisha ya juu, elimu yenyewe ya zooom na vyeti sita vya kurisiti nectaaa.....
Ndo hapo sasa.......wamepotezwa maboya anajifanya anajua watu.Wanajua watu kwa story za jf nachekaje sasa?oh fulani Mwalimu Fulani anauza samaki haya mwenzetu pilipili unauza nini?
hahaaaaaaa Mpwa umeambiwa upunguze kushinda JF kupiga umbea LOL
Wewe nawe hii IQ yako nawasiwasi nayo! Watu wa siri wapi? Hivi wewe mtu akikutumia habari ya siri kaka yako shoga utaiamini tu coz umetumiwa? Bila ushahidi wala vigezo, kurupuuuuuuuuu ushaiamini?