Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

Matola wakuache,,,hhhhhaaa umechambwa tena kwa sinta anaeweza atuwekee screen shot wajuz wa mambo,,matola unakua maarufu kila blogu
 

Lara 1 ukitaka kujua Mzazi wako ni tajiri Ishi USA .kuishi USA ni fundisho kwa kila binadamu .america utajua maana ya TIME,COST na STAREHE..mange anacheza chezacheza huyo Linda hustler .Ukimfuata Linda na makelele Yake utajikuta homeless .Linda Hana mashoga yeye ni mdomo na kazi.Linda ni m bepari Yule .Mange yeye Daddy daddy .Mange anahitaji kukua na kuelewa maisha hayahitaji mchezo.muda hauendi nyuma ni mbele.Hao wanao comment kwa mange ndio Hao wanao comment kwa Linda au humu jamii forum.kumbuka TIME COST MONEY .no body will pay your rent .JIULIZE kwa nini Hao wote wenye Kelele wapo USA au waliishi USA.ukitaka kujua stress come to America .
 

hahaaa Mpwa Inakua maarufu....mie mwenyewe nilisemwa U turn

Id ikawa maarufu Enzi za thread za Mange humu
 
Matola wakuache,,,hhhhhaaa umechambwa tena kwa sinta anaeweza atuwekee screen shot wajuz wa mambo,,matola unakua maarufu kila blogu

hahaaaaaaaaa hiyo ya kwa Sinta niliiona pia........ ni ka muda lakin kamepita

Shoga uko huku sa hivi ushakaanga Samaki
 
hahaaaaaaaaa hiyo ya kwa Sinta niliiona pia........ ni ka muda lakin kamepita

Shoga uko huku sa hivi ushakaanga Samaki

Hhhhaaa leo watoto wangu wanakaanga si unajua nakaribia kupokea mahari miee
Unaniua mbavu lo
 
hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN

Kujishaua tuuuuuuuuuu! Akublock kwa kipi? Nenda blog pale ukajimwage! Hajamblock Lindapapa ndo akublock wewe si maajabu hayo?
 
hahaaaaaaaaa walimu hoyeeeeeeee watoto washatoka shule leo 6:30
walimu tunapiga umbea kama kawaa...... tuambie huo umbea maana leo muda tunao

btw umenichekesha skuna na sketi ya marinda hahaaaaaaa

Huo umbea ukiwekwa hapa kina Mike watautoa dakika 2. ILA ALL PEOPLE ABOVE 23 HUMU CELEBRITY MPANDISHE GAME YENU NA KUACHA VIUMBEA VYA KITOTO, MUAMIE KWENYE CHAMPIONS LAEGUE. Unasikia umbea wa wakubwa wenzio, watu na watoto wao. Huu wa huku muachieni warumi best yao kina dogo janja na young d
 
Last edited by a moderator:

Sijaelewa hili bandiko lako lengo nini? mara sifatilii umbea, mara naburudika, mara mashoga wapo? Get a life!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…