Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Yani miye ndio waniache miaka 100 watu tuna bima za maisha na wala kwenye Kundi la kutafuta maisha Mimi simo, Mimi naishi sitafuti maisha.

Umenisoma mpwa? Yule ngedere anadhani kila mtu ana akili kama zake za kutambia ukwasi wa wazazi, watu hawana mpango kuexpose mambo ya kifamilia.

Last weekend nilikwenda kuwatembelea wazazi mshuwa akanipa smartphone lake nimsetie vitu fulani kwenye previous history nikakuta huwa anaingia JF na ya JF for Android kaipakuwa.

Zamani ilikuwa ukisikia watoto wa kota Mimi ni mmojawapo sasa napata tabu kuelewa mtu aliyezaliwa kwenye silver spoon family Kuwa na roho ya kichawi.

Matola wakuache,,,hhhhhaaa umechambwa tena kwa sinta anaeweza atuwekee screen shot wajuz wa mambo,,matola unakua maarufu kila blogu
 
Sio kosa lake HIS DAD WAS RICH, ndo kesharithi, aliekunyima wewe a lindapapa ndo kamgea yeye. Pesa pesa tu kwani ya urithi inakataliwa dukani? Nyie ndo muhangaike mkilegea mtakufa njaaa, yeye kesha hangaikiwa. Hivi hizo box zina sh ngapi ya kununua heka 200 Mbweni? Au heka 2 Africana barabarani pale? Si ndoto za mchana hizo. She was lucky period.

Lara 1 ukitaka kujua Mzazi wako ni tajiri Ishi USA .kuishi USA ni fundisho kwa kila binadamu .america utajua maana ya TIME,COST na STAREHE..mange anacheza chezacheza huyo Linda hustler .Ukimfuata Linda na makelele Yake utajikuta homeless .Linda Hana mashoga yeye ni mdomo na kazi.Linda ni m bepari Yule .Mange yeye Daddy daddy .Mange anahitaji kukua na kuelewa maisha hayahitaji mchezo.muda hauendi nyuma ni mbele.Hao wanao comment kwa mange ndio Hao wanao comment kwa Linda au humu jamii forum.kumbuka TIME COST MONEY .no body will pay your rent .JIULIZE kwa nini Hao wote wenye Kelele wapo USA au waliishi USA.ukitaka kujua stress come to America .
 
Yani miye ndio waniache miaka 100 watu tuna bima za maisha na wala kwenye Kundi la kutafuta maisha Mimi simo, Mimi naishi sitafuti maisha.

Umenisoma mpwa? Yule ngedere anadhani kila mtu ana akili kama zake za kutambia ukwasi wa wazazi, watu hawana mpango kuexpose mambo ya kifamilia.

Last weekend nilikwenda kuwatembelea wazazi mshuwa akanipa smartphone lake nimsetie vitu fulani kwenye previous history nikakuta huwa anaingia JF na ya JF for Android kaipakuwa.

Zamani ilikuwa ukisikia watoto wa kota Mimi ni mmojawapo sasa napata tabu kuelewa mtu aliyezaliwa kwenye silver spoon family Kuwa na roho ya kichawi.

hahaaa Mpwa Inakua maarufu....mie mwenyewe nilisemwa U turn

Id ikawa maarufu Enzi za thread za Mange humu
 
Matola wakuache,,,hhhhhaaa umechambwa tena kwa sinta anaeweza atuwekee screen shot wajuz wa mambo,,matola unakua maarufu kila blogu

hahaaaaaaaaa hiyo ya kwa Sinta niliiona pia........ ni ka muda lakin kamepita

Shoga uko huku sa hivi ushakaanga Samaki
 
hahaaaaaaaaa hiyo ya kwa Sinta niliiona pia........ ni ka muda lakin kamepita

Shoga uko huku sa hivi ushakaanga Samaki

Hhhhaaa leo watoto wangu wanakaanga si unajua nakaribia kupokea mahari miee
Unaniua mbavu lo
 
hahaaaa Mange alishani block na Id yangu nimebaki msomaji
hiyo siku nilisema mAKE up haijamkaa poa nikashangaa nimepewa BAN

Kujishaua tuuuuuuuuuu! Akublock kwa kipi? Nenda blog pale ukajimwage! Hajamblock Lindapapa ndo akublock wewe si maajabu hayo?
 
hahaaaaaaaaa walimu hoyeeeeeeee watoto washatoka shule leo 6:30
walimu tunapiga umbea kama kawaa...... tuambie huo umbea maana leo muda tunao

btw umenichekesha skuna na sketi ya marinda hahaaaaaaa

Huo umbea ukiwekwa hapa kina Mike watautoa dakika 2. ILA ALL PEOPLE ABOVE 23 HUMU CELEBRITY MPANDISHE GAME YENU NA KUACHA VIUMBEA VYA KITOTO, MUAMIE KWENYE CHAMPIONS LAEGUE. Unasikia umbea wa wakubwa wenzio, watu na watoto wao. Huu wa huku muachieni warumi best yao kina dogo janja na young d
 
Last edited by a moderator:
sasa mimi na Intelligence quotient tena kwenye udaku wa wamama wanao act kama wanamengi zaidi ya ndani yao zaidi ya marumbano na kuandika upuuzi vinani huu nini?, mie nikae chini kuamini sijui kutoamini maana vyote havinilishi wala haviniingizii pesa kwangu mie burudani chukua nilichoandika au pita kimya.... siwezi fatiliana na hasira kuweka kwa maisha ya wengine labda kama na wewe ni muhusika ndio nitaelewa y unataka kubishana sijui uongo sijui kweli watajiju. kwani mashoga si wamejaa siku hizi hata hapa bongo wapo nje nje na haikuwa hivi miaka ya zamani. hata ulaya tumeyaona la kushangaa nini kama uamuzi wa mtu ameamua hivyo? ni Kuomba Mungu tu kwa mengi duniani na kuishi kwa amani.

Sijaelewa hili bandiko lako lengo nini? mara sifatilii umbea, mara naburudika, mara mashoga wapo? Get a life!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom