Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

We binti wa mama Nyoni na wewe unaongea nini? Kwanza kesi iliisha ya ufisadi? Sasa if dady left her some fortune kosa lake nini? Mwisho wa mwezi $ 5000 hizooo, akbebe boxi la nini? asukume chrehani ya nini? Linda should work hard, even harder cause dady may leave her with debts.😛oa
 
Sijaelewa hili bandiko lako lengo nini? mara sifatilii umbea, mara naburudika, mara mashoga wapo? Get a life!

nimesoma uzi kutoka mwanzo....lara umenifurahisha hadi natetemeka....
 
angelita mambo ya kunipigia simu niko busy na saba sota natafuta hela ya kula kwenye uwanja wa fundi seremala sitakiiiiiiiiii! Anaenichamba naniiiiiiiiiiiii? Yuko wapi? Nitag niwaone. Mpaka Linda papa kaniblock mimi ni champions league kwa uchambaji.
 
Last edited by a moderator:
hahahaahahah.....tatizo nyota....
 
angelita mambo ya kunipigia simu niko busy na saba sota natafuta hela ya kula kwenye uwanja wa fundi seremala sitakiiiiiiiiii! Anaenichamba naniiiiiiiiiiiii? Yuko wapi? Nitag niwaone. Mpaka Linda papa kaniblock mimi ni champions league kwa uchambaji.

hahaha huyo angelita si ungemtext basi au not richabo kidding
 
Last edited by a moderator:
angelita mambo ya kunipigia simu niko busy na saba sota natafuta hela ya kula kwenye uwanja wa fundi seremala sitakiiiiiiiiii! Anaenichamba naniiiiiiiiiiiii? Yuko wapi? Nitag niwaone. Mpaka Linda papa kaniblock mimi ni champions league kwa uchambaji.

Ndo nn umekuja kunianika sio hapa kule kwingine bhana, nenda kajibu mashitaka.
 
Last edited by a moderator:
Kujishaua tuuuuuuuuuu! Akublock kwa kipi? Nenda blog pale ukajimwage! Hajamblock Lindapapa ndo akublock wewe si maajabu hayo?

Linda kiboko ya Mange imefungiwa na Instagram...., mie siko kwa Linda Papa wala Mange .... wote wanajitia umajinuni na kuishia familia na watoto wao kudhalilishwa......
 
Kule kwenyewe kazi nishamalizaaaaaaaaaa! Uwanja shwariiiiiiiiiiiii! Kupo kimyaaaaaaaaaaa!

Vipanya vyote vimekimbia, wanasubiri paka upotee watawale hahahaaaa, mbwembwe zote zimepotea.
 
Sasa hili jukwaa la celebrities ulitaka watu wajadili nini...

Tuache walimu, wakaanga samaki wauza vocha tujimwaye mwaye ndio uwanja wa kujidai huu....
 
Last edited by a moderator:
Linda kiboko ya Mange imefungiwa na Instagram...., mie siko kwa Linda Papa wala Mange .... wote wanajitia umajinuni na kuishia familia na watoto wao kudhalilishwa......

Hahahaaaa! Mtafute Mbutananga fashion au nasratito dakika 0, utakuta akaunti mpya ya linda. Kumpata Lindapapa ni dakiko 0 tu, angalia followers wa Mbutananga au account zake.
 
Hahahaaaa! Mtafute Mbutananga fashion au nasratito dakika 0, utakuta akaunti mpya ya linda. Kumpata Lindapapa ni dakiko 0 tu, angalia followers wa Mbutananga au account zake.
Nitamtafuta... ila bora kafungiwa hii...
 
Wacha kujipotosha na kumpotosha mtu, waarabu wa pemba tunajuwana kwa vilemba. Ukifuata mkumbo hapa JF utapotea simama kwa miguu yako na siyo kujificha nyuma ya mtu.

Hahahahaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…