lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
Lara 1 ukitaka kujua Mzazi wako ni tajiri Ishi USA .kuishi USA ni fundisho kwa kila binadamu .america utajua maana ya TIME,COST na STAREHE..mange anacheza chezacheza huyo Linda hustler .Ukimfuata Linda na makelele Yake utajikuta homeless .Linda Hana mashoga yeye ni mdomo na kazi.Linda ni m bepari Yule .Mange yeye Daddy daddy .Mange anahitaji kukua na kuelewa maisha hayahitaji mchezo.muda hauendi nyuma ni mbele.Hao wanao comment kwa mange ndio Hao wanao comment kwa Linda au humu jamii forum.kumbuka TIME COST MONEY .no body will pay your rent .JIULIZE kwa nini Hao wote wenye Kelele wapo USA au waliishi USA.ukitaka kujua stress come to America .
We binti wa mama Nyoni na wewe unaongea nini? Kwanza kesi iliisha ya ufisadi? Sasa if dady left her some fortune kosa lake nini? Mwisho wa mwezi $ 5000 hizooo, akbebe boxi la nini? asukume chrehani ya nini? Linda should work hard, even harder cause dady may leave her with debts.😛oa