Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Na wewe una "depresion", mbona umeandika ligazeti refu ambalo hata halivutii kumponda Mange kwa kitu ambacho huna uhakika nacho kama ni kweli au uongo??! Mange hajaponda utajiri au mafanikio ya Zari ila ameponda tabia ya mtu ambayo haina uhusiano na mali zake.

Fikiria kabla hujamponda mtu.... Am sorry manake na mimi ntaonekana mwanaume mmbea kuingilia mambo ya wadada.

No body is immune to depression n yes I might be depressed as u said and having depresion is not a sin.

Mm sijamponda bali nimesema kaniudhi kumtesa mtoto bila sababu.Na kwa sababu ameniudhi usitegemee niandike vitu vya kumsifia.

Btw.Inaonesha unapenda kusutana sbb thread za kiume ziko kibao ila hii ya wadada wanayoongelea 'inshu' zao za vigodoro ndo imekuvutia ukaja hadi ku coment.Haya karibu mkekani tusogoe
 
Kweli hata mimi ananiboa kama hili sakata la Zari amelikomalia utafikiri amechukuliwa mume. Yaani anamtafuta Zari uchokozi kwa nguvu zake zote.

Ukute Zari hata hajui kama ana exist
 
Mi najiuliza hivi mumewe akisoma ile article jinsi Mange alivyokua akiwinda kupata mume mwenye hela atajisikiaje?
Si ataona kaoa gold diger.Halafu kama lengo ni kuolewa na mwenye nazo siku mumewe mambo yakimuendea hovyo Mange atabaki na Mume chokest au ndo ataingia tena viwanja kuwinda mwingine mwenye nazo?
Too many questions.

Mumewe sidhani kama anasoma. Plus kiswahili kingi. Mumewe angekuwa anasoma ile blog daily sidhani kama Mange angekuwa anawabully watu. Cyberbullying is a serious crime I doubt mumewe angeona its ok for mke kutumia blog kubully watu. I bet you the guy hajui his wife dealings
 
I meant ana manic depresion or mania as u said which still ni depresion.Hii ndio inamfanya mtu anaongea sana kama Mange.Lol

Yeah alivyokua Dubai alikua anapendeza sana.

Chezea marekani maisha yako juu plus Dubai hakuwa na watoto watatu. Sasa mume Landscape Engineer labda anatengeneza 100, 000 usd a year labda na yeye biashara zake another 100, 000usd a year. Matumizi ya kuishi sijui alisema wamenunua nyumba beverly hills hiyo mortgage balaa si chini ya 4,000usd monthly, bado groceries family of five easily 1,000 a month hujalipa kayene around 800usd a month sijui day care 1,500usd monthly, sijui insurance, sijui mitoko ya hatari ya kupost kwa blog, I can list the bills here ndo ukiona kapauka hapendezi tena kama Dubai elewa its just life la Cali sio mchezo. Thats just my opinion I could be completly off.....
 
Bila kusahau alimshutumu lawyer mmoja wa IMMA kuqa kambaka, sikumbuki lini ila labda ndio ilikuwa ticket ya kwenda dubai...mtu aliyetaka kubakwa kiukweli anaweza kukaa chini kuongelea mambo ya wanawake wenzake bila kukumbukia tukio? Natumaini hakutungaga na kusema ilikuwa wakati yeye alishindwa kumpata.
 
Bila kusahau alimshutumu lawyer mmoja wa IMMA kuqa kambaka, sikumbuki lini ila labda ndio ilikuwa ticket ya kwenda dubai...mtu aliyetaka kubakwa kiukweli anaweza kukaa chini kuongelea mambo ya wanawake wenzake bila kukumbukia tukio? Natumaini hakutungaga na kusema ilikuwa wakati yeye alishindwa kumpata.
Kazi iPo
 
Mange ni mdada aliyepigwa zongo la kugombana na kila mtu.
Nasukia alimtukanaga bibi fulani,huyo bibi akamwambia utagombana na kila mtu na watu wakugombana nao wakiisha utagombana na mijusi na mende.Cheki hawa watu alogombana nao then uniambie kama huyu hajalogwa kugombana na watu.

1.Teddy Kalonga.
2.Adelina Mushi.
3.Devota Diva
4.Cynhtia Masasi.
5.Richard Mziray
6.Mike mziray.
7.Shigongo.
8.Chaga barbie
9.Advocate Magai
10.Diamond
11.Linda
12.Shamim
13Kiki Zimba
14.Sintah
15.Jestina George.
16.Mke wa mzungu wa SA
17.John Mashaka.
18.Max Melo
19.Mmarekani muuza mawigi.
20.Mdada wa mbongo aliyecoment kwa mmarekani muuza mawigi.Lol
21.Eve Collection.
22.Ray Kigosi.
23.Mbuta nanga aka butifu Onyinye.
24.Kinje.
25.le Mutuz
26.Mdada Marehemu wa UK(anagombana hadi na waliokufa)
27.Nuru the Light(mpole sana huyu maskini ya Mungu).
28.Rachel Temu.
29.Zari.
30.Joyce Kiria
31.Maznat bridal
32.Hasheem Thabit

Wengine siwakumbuki but is this normal?

Mwamvita Makamba Jee
 
Completely off kwenya biashara zake. na mshahara wa landscape architect. Lakini yote unayosema nikweli. Anasema bwana ni architect lakini ni glorified shamba boy. Ndo maana kaamua kuenda natural hair kwa maana weaving kule ni bei. Reality has hit her. Mzungu, umefika Cali lakini furaha hauna. Kitu cha muhumi maishani ni happiness.
 
Fursa za kugombana na watu kwa Mange sio tatizo.Akimalizana na Zari anaweza akashtua kidogo kwa Shamim au Chaga au Linda huku akivuta kasi ya kumtafuta adui mpya.Sidhani kama pasaka itafika kabla hajapata adui mpya wakumuandikia gazeti.
Eti mwenyewe anasema anawa stress wabaya wake kwa yale magazeti yake ila sasa cha kushangaza picha zake zinaonesha yeye ndo full mistress yaani hana furaha kabisa.

Nchekeeee mie, hata wale anonymous wake atagombana nao tuu soon 👀
 
Mange aliposema hajampa Keanu Uji siyo kweli,kama hujamjua Mange ana asili flani ya Comedy,hakuwa akimaanisha
 
Mange hana tofauti na Wema,hapendi rafikize wawe juu yake,anapenda aonekane yeye tu,na hapo ndio tatizo lake linapoanzia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom