Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Mange aliposema hajampa Keanu Uji siyo kweli,kama hujamjua Mange ana asili flani ya Comedy,hakuwa akimaanisha

My dear i know Mange very well.Najua anapotania na najua anapomaanisha.Hiyo hakutania mpendwa.Unataka kusema alivyosema Lance alikua anamtesa mwanzoni nako alikua anatania?Mwenzio yule siku hz hajui kipi chakuandika hadharani na kipi asiandike.
 
Alikuwa anamaanisha sana,alitaka tuone kiasi gani swala la zari lilimkera na kuwa lilimtatiza sana that's why she devoted her time and forsaked her young baby!ile ni misifa ilikua pale ila ndo kaharibu!!
 
Hahaaa.
Mwenzangu.
Hv umegundua akiwa na beef na mtu huwa anachanganyikiwaga anaongea vitu hadi we msomaji unaona aibu.
 
Bila kusahau alimshutumu lawyer mmoja wa IMMA kuqa kambaka, sikumbuki lini ila labda ndio ilikuwa ticket ya kwenda dubai...mtu aliyetaka kubakwa kiukweli anaweza kukaa chini kuongelea mambo ya wanawake wenzake bila kukumbukia tukio? Natumaini hakutungaga na kusema ilikuwa wakati yeye alishindwa kumpata.

Mtu mmoja wewe peke yako yote haya kweli.
Tumuombee kwa kweli sio bure khaa.
 
Chezea marekani maisha yako juu plus Dubai hakuwa na watoto watatu. Sasa mume Landscape Engineer labda anatengeneza 100, 000 usd a year labda na yeye biashara zake another 100, 000usd a year. Matumizi ya kuishi sijui alisema wamenunua nyumba beverly hills hiyo mortgage balaa si chini ya 4,000usd monthly, bado groceries family of five easily 1,000 a month hujalipa kayene around 800usd a month sijui day care 1,500usd monthly, sijui insurance, sijui mitoko ya hatari ya kupost kwa blog, I can list the bills here ndo ukiona kapauka hapendezi tena kama Dubai elewa its just life la Cali sio mchezo. Thats just my opinion I could be completly off.....

Mbona wenzie kina Chaga ,Linda wako marekani huko huko na wameiva wamenawiri wanavutia ile mbaya.
Mange siku hizi kawa mkavuu sijui nini mbaya maskini.
 
I meant ana manic depresion or mania as u said which still ni depresion.Hii ndio inamfanya mtu anaongea sana kama Mange.Lol

Yeah alivyokua Dubai alikua anapendeza sana.
Hamna kitu kama manic depression.....
Halafu mania haiwezi kuwa sawa na depression.
Kwa kifupi na lugha nyepesi depression ni kinyume cha mania.
 
Jamani yeye mwenyewe says she aint happy,she is so low!kila mtu huwa anapitia matatizo,ila nadhani yeye matatizo yake chimbuko lake ni kwenye ubongo wake,kwa kifupi amevurugwa wataalam wa saikolojia wanajua,she is so aggressive,muda wote ni kama anapambana vile,aaah kavurugwa sio siri!
 
Hamna kitu kama manic depression.....
Halafu mania haiwezi kuwa sawa na depression.
Kwa kifupi na lugha nyepesi depression ni kinyume cha mania.

Uko sawa kiasi fulani ila unaposema hakuna kitu kama manic depression inaonesha u r not well loaded in this.Just google manic depression and see what u will get.

Manic depression ni tofauti na major depression na dalili zake ni tofauti kabisa.

Manic depression(mania) ni bipolar ambayo kama unavyosema ni kweli kwamba ni vitu viwili tofauti na MAJOR DEPRESSION.
 
Jamani yeye mwenyewe says she aint happy,she is so low!kila mtu huwa anapitia matatizo,ila nadhani yeye matatizo yake chimbuko lake ni kwenye ubongo wake,kwa kifupi amevurugwa wataalam wa saikolojia wanajua,she is so aggressive,muda wote ni kama anapambana vile,aaah kavurugwa sio siri!

Halafu siku hizi upuuzi wote wa IG kwake ndo habari za maana.
 
Swali zuri sana hili, mimi hivi viblogu uchwara huwa sina bundle ya kupoteza si ya Mange wala Sinta wala Le Mutuz.

Niko confotable sana na Mjengwa blog.

Kuna siku niliona wanakuponda kwa Sintah Blog nikachekaje Mpwa.......

kuna wtu wajinga jamani...........
 
Kuna siku niliona wanakuponda kwa Sintah Blog nikachekaje Mpwa.......

kuna wtu wajinga jamani...........

Kuna mtu alinistuwa ndio ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupita uko.

Mtu humjui hakujui akakushupalie kwenye blog kwa mambo ya JF kama si uchizi kitu gani?

Ila kwa Intelijensia yangu nimebaini Sinta hapa ni member na hoja za hapa zinamzidi kimo ndio hasira zake anahamishia kwenye kiblog chake.

Blog zote kabla ya kupublish comment zinapitiwa kwanza, kwahiyo upumbavu wowote ukiukuta kwenye blog ujuwe una baraka zote za mmiliki.
 
si kweli zari bado bikra

Hahaa.
Kweli ni bikira mwenye watoto watatu.
Ila jamani dada yule uzuri wake sijaupatia mfano.
Kama malaika ni wazuri kushinda Zari basi mbinguni ni kuzuri sana aisee.
 
Kuna mtu alinistuwa ndio ikawa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupita uko.

Mtu humjui hakujui akakushupalie kwenye blog kwa mambo ya JF kama si uchizi kitu gani?

Ila kwa Intelijensia yangu nimebaini Sinta hapa ni member na hoja za hapa zinamzidi kimo ndio hasira zake anahamishia kwenye kiblog chake.

Blog zote kabla ya kupublish comment zinapitiwa kwanza, kwahiyo upumbavu wowote ukiukuta kwenye blog ujuwe una baraka zote za mmiliki.

haaaa halafu ni uchizi ya JF kupeleka kule inahuu.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom