Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.

No body is immune to depression n yes I might be depressed as u said and having depresion is not a sin.

Mm sijamponda bali nimesema kaniudhi kumtesa mtoto bila sababu.Na kwa sababu ameniudhi usitegemee niandike vitu vya kumsifia.

Btw.Inaonesha unapenda kusutana sbb thread za kiume ziko kibao ila hii ya wadada wanayoongelea 'inshu' zao za vigodoro ndo imekuvutia ukaja hadi ku coment.Haya karibu mkekani tusogoe
 
Kweli hata mimi ananiboa kama hili sakata la Zari amelikomalia utafikiri amechukuliwa mume. Yaani anamtafuta Zari uchokozi kwa nguvu zake zote.

Ukute Zari hata hajui kama ana exist
 

Mumewe sidhani kama anasoma. Plus kiswahili kingi. Mumewe angekuwa anasoma ile blog daily sidhani kama Mange angekuwa anawabully watu. Cyberbullying is a serious crime I doubt mumewe angeona its ok for mke kutumia blog kubully watu. I bet you the guy hajui his wife dealings
 
I meant ana manic depresion or mania as u said which still ni depresion.Hii ndio inamfanya mtu anaongea sana kama Mange.Lol

Yeah alivyokua Dubai alikua anapendeza sana.

Chezea marekani maisha yako juu plus Dubai hakuwa na watoto watatu. Sasa mume Landscape Engineer labda anatengeneza 100, 000 usd a year labda na yeye biashara zake another 100, 000usd a year. Matumizi ya kuishi sijui alisema wamenunua nyumba beverly hills hiyo mortgage balaa si chini ya 4,000usd monthly, bado groceries family of five easily 1,000 a month hujalipa kayene around 800usd a month sijui day care 1,500usd monthly, sijui insurance, sijui mitoko ya hatari ya kupost kwa blog, I can list the bills here ndo ukiona kapauka hapendezi tena kama Dubai elewa its just life la Cali sio mchezo. Thats just my opinion I could be completly off.....
 
Bila kusahau alimshutumu lawyer mmoja wa IMMA kuqa kambaka, sikumbuki lini ila labda ndio ilikuwa ticket ya kwenda dubai...mtu aliyetaka kubakwa kiukweli anaweza kukaa chini kuongelea mambo ya wanawake wenzake bila kukumbukia tukio? Natumaini hakutungaga na kusema ilikuwa wakati yeye alishindwa kumpata.
 
Kazi iPo
 

Mwamvita Makamba Jee
 
Completely off kwenya biashara zake. na mshahara wa landscape architect. Lakini yote unayosema nikweli. Anasema bwana ni architect lakini ni glorified shamba boy. Ndo maana kaamua kuenda natural hair kwa maana weaving kule ni bei. Reality has hit her. Mzungu, umefika Cali lakini furaha hauna. Kitu cha muhumi maishani ni happiness.
 

Nchekeeee mie, hata wale anonymous wake atagombana nao tuu soon 👀
 
Mange aliposema hajampa Keanu Uji siyo kweli,kama hujamjua Mange ana asili flani ya Comedy,hakuwa akimaanisha
 
Mange hana tofauti na Wema,hapendi rafikize wawe juu yake,anapenda aonekane yeye tu,na hapo ndio tatizo lake linapoanzia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…