Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Why are you quoting a small part, when she said she's insane?

Can't you see that's is hypocrite we are talking about. Why you are changing the whole meaning. To be honest you need help too.

Wewe,we take the relevant out of the unrelevant that's how the sane brain works!!We both need help,but it works best when we admitt we are insane and we are ready to be heleped!!
 
Before nilijua Jamii forum ni kwa wasomi wenye kuongea facts, badala yake ni watu wanafiki, wenye chuki, mahasidi na waongo. Yani mmemuandikia Mange thread ya chuki, mnacomment kwa jazda na chuki za wazi. Nyie wanawake acheni chuki. Sasa km hivi mmavyomtukana akiwajibu, yy mgomvi au hiyo miyo ya ubinadamu mnayo nyinyi yy hana.
mnamchokinoa kila kukicha. Nyinyi mkikosoa watu mpo sawa na kiblog chenu cka unafki mnaojificha na fake ids, yy akiongea the same issue ooh Mange kaanza.
Mnamuogopa Mungu nyinyi watu, malipo hapa hapa duniani
Malipo ya nini we pumbavu,acha ushabiki maandazi.kwanza umekuaje kweli wewe.nyie ndio mmekaribia kumjaza ujinga huyo pimbi wenu atukane watu na siku akiingia pabaya mnapotea mavi yenu.
 
Hahahaha ngoja tumuombe zari au mumewe amuazime ata mmoja!!!!na ulaya usafiri wa bus ni mzuri kabisa

Zari atampa tu anunue, ,,alivyomkazania kwa blog yake ingekua zari ni wa kuja wangekosana lakini zari kaona si hadhi yake mange
 
Mange hana furaha kabisa, ni aina ya watu wakiwa hivyo kushambulia mtu mwingine kwa maneno inampa afueni.
Fikiria mtu uwe na furaha kama anavyojitanabaisha kwenye blog yake, halafu uanze kuhangaika na kila mtu anayekutupia vineno, ambavyo hata wewe huwatupia.

Hao wanaowekewa contacts za waume zao, nao wanashindwa nini kutafuta namba ya Lance waianike na anwani anapoishi?
Maana hali ilipofika ni mwaga ugali nimwage mboga.
Na alipofikia ni uchizi wa kuweza kufanya chochote, yeye ndio wa kupimwa na si mbuta nanga.
Sijui kwanini wanablog wake hawamsaidii, wanajifanya kumshabikia lakini wakiwa pembeni wanamng'ong'a.

Kweli mdau umeongea Kweli kabisa Afu Sidhani kama mzungu wake anajua mkewe Ana hizi tabia za Kibedui wanaonekana ni watu wazuri!!! Duh ila huyu dada ni chiziiiii
 
Unafiki tuuu!huwezi ukamsema mwenzio kaolewa na watoto akati na wewe amekukuta na mtoto,pia mwanaume mwenyewe ulitegesha tu ili upate maisha mazuri!!mfyuuuu,,Lilith!!
 
Malipo ya nini we pumbavu,acha ushabiki maandazi.kwanza umekuaje kweli wewe.nyie ndio mmekaribia kumjaza ujinga huyo pimbi wenu atukane watu na siku akiingia pabaya mnapotea mavi yenu.

Mafiiii yao yananuka!Unajua tusi lao kubwa ni jina lao MALAYA!!If you real need the best in a person inatakiwa uweke unafiki pembeni umwambie ukweli sio kumpotosha ili akuletee chupi ya mtumba!!
 
Why are you quoting a small part, when she said she's insane?

Can't you see that's is hypocrite we are talking about. Why you are changing the whole meaning. To be honest you need help too.

Ok I need help,does it change the fact that your friend is also crying for help???............I quoted that part because that is what is important,now if you have your CEO s'best interest ,go and help her..she needs YOU more than I do...(whether i am hypocrite or not)....and you can bring the whole gazeti here if you want to.......
 
Wanawake,maisha ya chuki na husda kisa umezidiwa kimaisha ni mabaya sana!!
 
Kweli mdau umeongea Kweli kabisa Afu Sidhani kama mzungu wake anajua mkewe Ana hizi tabia za Kibedui wanaonekana ni watu wazuri!!! Duh ila huyu dada ni chiziiiii
Sidhani kama anajua,jamaa anaonekana ni dissent family man.ila hapo kwa mke ndio tatizo aisee.by the way mwanamke wa namna hii hachelewi kumchamba na kuharibu hata kwa mumewe.
 
Unafiki tuuu!huwezi ukamsema mwenzio kaolewa na watoto akati na wewe amekukuta na mtoto,pia mwanaume mwenyewe ulitegesha tu ili upate maisha mazuri!!mfyuuuu,,Lilith!!

Ona Link hiyo anasema hampendiii mume wake jamani Sahv ni bora kuwa makini na hizi Email mnazoandika www//Forum.q8lots.net/t1625490.html
 
Sidhani kama anajua,jamaa anaonekana ni dissent family man.ila hapo kwa mke ndio tatizo aisee.by the way mwanamke wa namna hii hachelewi kumchamba na kuharibu hata kwa mumewe.

Si ndio ata dada alikirii kwa mashosti hampendiii kihivyoo nahisi Labda ni Frustrations za kukosa Bwana wa pembenii wa kutuliza zile nyege za kiparee anamuonea wivu zari anavyofaidi kwa chibu...chezea muhogoo!!!! She Needs a good f***k;She aint getting it Right
 
.......ungekuwa hu suport kutukana watu.....sioni sababu ya WEWE kumpenda mange??!...yeye ni kinara wa kufanya hivyo....rudia ile list ya watu aliogombana nao...kny blog yake,ni matusi tu.......mnh....na recently ndio imekuwa worse....sijui hio energy anaitoa wapi???..am sure angewekeza the same energy kwingine...angepata postive results,iwe kny mahusiano ama kipesa..

Lastly Muombee lol na km wewe ni mtu wake wa karibu,plz huko USA i think kuna madaktari wengi wa vitu km misongo,mpeleke akamuone mmoja,mwenyewe ka admit she is insane....sasa this is dangerous for the kids,admitting first ndio njia mojawapo ya kupata tiba,second ni kumuona daktari.....maana km ndoa ina mushkeli,biashara zimegoma afu watu wanakuzingua,unaweza ukaua..........mie simfollow ningemshauri with my name....ila.nimejifunza she is not reliable/trustworthy...km aliweza kumtukana mtu best friend wake aliyemsimamia harusi ndio itakuwa mie mtu baki tukipishana kauli?
Why are you quoting a small part, when she said she's insane?

Can't you see that's is hypocrite we are talking about. Why you are changing the whole meaning. To be honest you need help too.
 
Si ndio ata dada alikirii kwa mashosti hampendiii kihivyoo nahisi Labda ni Frustrations za kukosa Bwana wa pembenii wa kutuliza zile nyege za kiparee anamuonea wivu zari anavyofaidi kwa chibu...chezea muhogoo!!!! She Needs a good f***k;She aint getting it Right

That's very obvious that's why she's gadem very envious hope the dildo she sells just doesn't treat her well!!or she misses her lesbian mate...
 
Ona Link hiyo anasema hampendiii mume wake jamani Sahv ni bora kuwa makini na hizi Email mnazoandika www//Forum.q8lots.net/t1625490.html

Haifunguki,hujaikosea kweli!!anapenda pochi pale na maisha ya pesa..
 
Ona Link hiyo anasema hampendiii mume wake jamani Sahv ni bora kuwa makini na hizi Email mnazoandika www//Forum.q8lots.net/t1625490.html

Hayo ndio inayofanya jamii forum kudhalaulika cku hizi, yani unafki na hasada ndio zimewajaa. Sasa Mange akiachwa na muwewe mtajipeleka nyie muokewe???
Why mna chuki binafsi jamii forum, nyie mmetembea na wanaume/wanawake wangapi?
Yy Mange km alikuwa na mwanaume wa pembeni smekosea, na nyinyi "wasafi" mnaonyooshea wenzenu vidole mnakosea.
Hebu kula mtu aweke list ya wanawake /wansyme zake tuone km kuna msafi kati yenu, hebu muogopeni Mungu.
 
Si ndio ata dada alikirii kwa mashosti hampendiii kihivyoo nahisi Labda ni Frustrations za kukosa Bwana wa pembenii wa kutuliza zile nyege za kiparee anamuonea wivu zari anavyofaidi kwa chibu...chezea muhogoo!!!! She Needs a good f***k;She aint getting it Right

Maisha ya ku hang around na marafiki ni ys ki teenager mtu mzima sijui muda huo unautoa wapi? Madhara yake nkigombana, ndio hayo km kina Mange mnatoleana siri zenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom