Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Shoga updates za insta Viola kajiua ndo maana Mange kafuta comments....

Mmnnh kisa kuchambwa U turn au kuna lingine mme kampiga au kampa talaka, ,,,au ule mchepukoo niniii
 
Nasikia Viola kajiua ...

Shoga updates za insta Viola kajiua ndo maana Mange kafuta comments....

Weweeeee naomba isiwe kweli jamani au ndo maana katoa zile Post

Yaan kajiua kisa kuchambwaa ndio mange kafuta kila kitu heeee hebu mwaga ubuyu aisee hii movie tamu balaaaa

Mwenye uhakika athibitishe hapa na Mange lazima atajiuwa.

Nina show nzima ya baba yake kwenye maktaba yangu. Na vijana wangu wa IT nawapigia simu usiku huu watoe show live hapa hapa.
 
mashallah una jina zuri sana mimi yule dada namjua yule mdogo ndo shostiii na kashaniuzia viatu vya shanga shanga nawapenda sana
mi pia kanikera na mtanange hauishi

Hebu tupe habari huyo dada kajiua au maneno ya watu tu si upo karibu naee,,,,
 
Mwenye uhakika athibitishe hapa na Mange lazima atajiuwa.

Nina show nzima ya baba yake kwenye maktaba yangu. Na vijana wangu wa IT nawapigia simu usiku huu watoe show live hapa hapa.
Matola hiyo video ungeirusha insta na huku pia tusambazie whataapp
 
Last edited by a moderator:
Walisema mchepuko wake kaathirika labda hiyo, jamani kawaacha watoto wake nilisema mwisho wa haya maugomvi ni mbaya.

Kama kajiua kakosea sana si angeenda kupima yaan unajiua unaacha watoto wako, ,,,,mkosi kwa mange huo na mdomo wake
 
Sijui ukweli ni upi???kama kweli kajiua...Mange hii vita utapigana mpaka kaburini,tubu mama wewe......mie sijajiua kisa mchambo aisee...na Mange ukijisikia nitundike tu kny blog yako....nishatukanwa weee...ndio kwanza imenifanya kuwa nunda....
 
Mwaga basiiiii Aaaarghhhhhh.

Haa nadhan itakuwa ni kumpa misifa huyo skeleton si anasifiwa bingwa na wale misukule kuleee....kwani ye Mange kapima lini...yeye alikuwa analiwa kopo la samvu tu anasems wenzie wanachepuka yeye hao akina alb waliomdumaza aliwapima....na kama viola kafa......sijui
 
Nashukuru....ila tusemeni bila kumung'unya maneno Mange hana radhi ya mama, Afanye akafagilie kaburi, a some dua na atoe wakfu....
huo ndo ukweli namtaka mange wa bang magazine
namtaka mange wa wanawake liv,namtaka mange wa miss da indian ocean sio huyu baradhauli mwehu sio mange huyu ni chizi
Na hivi kaolewa huko ughaibuni ajiangalie wanawe wasije wakamtenga na kumchukia kuliko yeye alovyomchukia mama yake....
ndo itakavyokua
sijaingia insta leo iweke hapa basi hapa tuione
nshaweka

Jamani hiyo saa 9 usiku mi hua naota nipo peponi nakula bataa jamaniii sijui nani aniamshe yaan Matola moyo unanienda mbioo Kim nana we ni popo pulizzzz utascreen shot kama ni video downloud then utanipa maubuyu wangu etiiiii mim hua ninalala unaweza nibeba kunitupa popoteeee
Ndio naingiaaa nilikua nasoma nilipoishiaaaaaa
matola weka sasa hv tena weka ig pia
Shoga updates za insta Viola kajiua ndo maana Mange kafuta comments....
kama kajiua mange siku zake zinahesabika na

Yaan kajiua kisa kuchambwaa ndio mange kafuta kila kitu heeee hebu mwaga ubuyu aisee hii movie tamu balaaaa
dina huezi jua familia imeriact vp ujue
Mwenye uhakika athibitishe hapa na Mange lazima atajiuwa.

Nina show nzima ya baba yake kwenye maktaba yangu. Na vijana wangu wa IT nawapigia simu usiku huu watoe show live hapa hapa.
matola sambaza koteeeeeeeeeeeeeeee
Walisema mchepuko wake kaathirika labda hiyo, jamani kawaacha watoto wake nilisema mwisho wa haya maugomvi ni mbaya.

Matola hiyo video ungeirusha insta na huku pia tusambazie whataapp
sambaza mpaka twitaaa tumkomeshe mana km viola kajiua haiwezekani lazma kieleweke
Kama kajiua kakosea sana si angeenda kupima yaan unajiua unaacha watoto wako, ,,,,mkosi kwa mange huo na mdomo wake

na jela inamuita labda km ndugu zake viola mafala
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom