Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Haa nadhan itakuwa ni kumpa misifa huyo skeleton si anasifiwa bingwa na wale misukule kuleee....kwani ye Mange kapima lini...yeye alikuwa analiwa kopo la samvu tu anasems wenzie wanachepuka yeye hao akina alb waliomdumaza aliwapima....na kama viola kafa......sijui

Jamani asijiue watoto wake hawaonei hurumaaaa
 
ndo itakavyokua

nshaweka



matola weka sasa hv tena weka ig pia

kama kajiua mange siku zake zinahesabika na


dina huezi jua familia imeriact vp ujue

matola sambaza koteeeeeeeeeeeeeeee



sambaza mpaka twitaaa tumkomeshe mana km viola kajiua haiwezekani lazma kieleweke


na jela inamuita labda km ndugu zake viola mafala

Ba Mange akijiua wa Kwanzaa kushikwa ni Matila jike/dume
 
ndo itakavyokua

nshaweka



matola weka sasa hv tena weka ig pia

kama kajiua mange siku zake zinahesabika na


dina huezi jua familia imeriact vp ujue

matola sambaza koteeeeeeeeeeeeeeee



sambaza mpaka twitaaa tumkomeshe mana km viola kajiua haiwezekani lazma kieleweke


na jela inamuita labda km ndugu zake viola mafala

Ww una tofauti gani na Mange kwa matusi na udhalilishaji. Ww unajificha nyuma ya JF. Hata nyie wote watia chumvi mtashikwa
 
miss neddy geniveros DINzarde ladykims Matola nipo insta nasaka habari ili tuthibitishe kajiua kweli ama LA...ila Mange kafuta zile post alizowachamba hawa wadada
hahahaassa ye si mwanamke ashki majnuun gani imemshka hadi kafuta postttt?ye si bingwa anauza ngamia kwa kesi ya ngombe?leo hii kafuta posti aziache km ana kina kike
mxiiiiuuiiiii
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom