Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

Status
Not open for further replies.
Mbona mnajipa umuhimuuuuuuuuu MSIOKUWA NAO? Aje huku kufanya nini wkati WATOTO WA MAKUPUKUUUUUUU, WASHIKA CHAKI, MAFUKARA WAKUBWA (hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa) mmejaa humu celebrity. Masikini wakubwa mpaka mnajificha nyuma ya ID midomo mirefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! ASIE MASKINI AWEKE JINA LAKE KAMILI, NA WHAT HIS PAPITO HAS IN THIS TOWN! Hahahaaaaaaaaaa! Nyooooooooooooooooo! WATIZAME KWANZA MMJIFICHA AFU MNAPAMBANA NA WALIO LIVE. KAMA MNA JEURI TOKENI LIVE, KAMA HATUJAZIMIA KWA CHEKO! Halooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Ya washika duster.

ahaaaaaaaaaa utuwache walimu........ sa hivi break time watoto wako break tunajiachia JF lols
 
haaaaaaaaa kasemaje maana alisha ni block

Ameweka picha ya kina Nancy na mama wawili et walikua na maisha ya kawaida na ni wazuri na hawajivuni,,wamepata wanaume wenye maendeleo wako kimya sasa wengine kazi kutukanana mitandaoni,,,yaan kaandika kagazeti wakuwekee screen shot
 
hatujaamua kutoka tu watu na status zetu mjini mashauzi hatuna kwi kwi kwi kicheko cha pesa hicho angalia usiharibu kazi za boss huko maana akikukuta upo jf no maelezo mkono hautaenda kinywani huo ohooooo

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mambo ya sizitaki mbichi hizi! Aliempa yeye kiti ndo kakunyima wewe na kukugea kumbi a.k.a mkeka!
 
haaaaaaaaa kasemaje maana alisha ni block

Le kopoz hana lolote, NATAMANI NICHAMBE HAPAAAAAAAA lakini sema tu hawajanifanya chochote ila nachamba kidogo tu aliowaweka.

Nancy - Home wrecker

Fausta- Home wrecker

Nasreen - Babu wa Egypt

Kylyn - Home wrecker

Faraja - Ngoja nikae kimya

Sofia - Dr. ngoja nimuache manake sio mtu wa mitandao.

Hawa wote wakisema waseme su wafanye vita na Mange wamekwishaaaaaaaaaaa! Humu ndani watu wanajifanya wambea hamna hata umbea wenyewe ule grade AAA wa watu kama sie watu wazima, umbea wenu wa Insta wa kina Zari na Wema. Mjni kuna umbea hapaaaaaaaaa. Kina Madina na u partner wa Imma, umbea corporate kama huo hamna kabisaaaaa.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mambo ya sizitaki mbichi hizi! Aliempa yeye kiti ndo kakunyima wewe na kukugea kumbi a.k.a mkeka!

hahah nikiamua kuweka
ukwasi wangu hapa unaweza uka resign uje uombe job hapa hahaha uwe unafuta heels zangu nikulipe ten times unayolipwa na gabachori huko
 
ahaaaaaaaaaa utuwache walimu........ sa hivi break time watoto wako break tunajiachia JF lols

Hahahahaaaaaaaaa! Kama nakuona na skuna zako, sketi ya marinda, chaki zao na duster mkononi mda huu. Kama mtu wa maana vile, kumbe mchambaji wa Jf! Hahahahaaaaaaaaaa!

Afu nilishau umbea wa kina madina mtaujuaje wakati mmekuja mjini juzi na mbio za mwenge au maloi ya kabichi? Haahahaaaaa!😛oa
 
hahah nikiamua kuweka
ukwasi wangu hapa unaweza uka resign uje uombe job hapa hahaha uwe unafuta heels zangu nikulipe ten times unayolipwa na gabachori huko

Hahahahaaaaaa! Weka sasa unachotishia kujamba nini kumbe unaharisha.
 
Hahahahaaaaaaaaa! Kama nakuona na skuna zako, sketi ya marinda, chaki zao na duster mkononi mda huu. Kama mtu wa maana vile, kumbe mchambaji wa Jf! Hahahahaaaaaaaaaa!

Afu nilishau umbea wa kina madina mtaujuaje wakati mmekuja mjini juzi na mbio za mwenge au maloi ya kabichi? Haahahaaaaa!😛oa
hahaaaahaaaa maneno hayo ht kwenye kanga yapo
ukiskia paaaaa limekuchoma hilooooo
umesahau na rula mkononi ile ndefu na fimbo
hallloooooowweee
kuchamba mchambe nyie tuu akichamba mwl shidaas
ualimu huo natembea nao mfukoni!!!
hhhhhhehhheeeeiyyyaaaa
 
Hahahaaaaaaaa! Ukisikia paaaaaaaaa ujue mwalimu alietiwa bicha likavimba kama puto kapingwa na sindano ya kichambo!😛oa Ualimu wito nafahamu hilo ila MWALIMU MCHAMBAJI hilo jipyaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaaa!

Afu najribu kuimagine yule aliepeleka ile habari ya mwali kule ni ID ya nani humu? Na lazima ni mtu anashinda humu celebrity, nina muhisi Haven on Earth, lakini HOE nini team Mrs Sembe asingeweza kumtetea Mange, Bado napeleleza miandiko, nimjue nicheke vizuri.
 
Last edited by a moderator:

aaaahaaaaa mwalimu mchambaji duuu lazima vipora vya kusahisha vinamuhusu....umemtaja fausa aaahaaaa daah umenikumbusha mbali miaka iyo kama sikosei 2000 alikua akifanya kazi pale IIT samora chuo flani ivi cha wahindi cha computer kama mpokea simu mi nilikua mwanafunzi pale nimemaliza zangu A level nasubiri majibu nikaenda kusoma pale ..yani aibu wahindi walivyokua wakimchezea na kumtia vidole pale pale kwenye desk yake wanafunzi tukawa tuna wachunguliajeee sasa aaaahaaaaa daah watu waone tu tena wahindi ttofauti tofauti
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa malaya wanaong'ang'ana na kazi yako mbona profession zao ndio hatuzijui kama sio wauza maku,mwalimu mwalimu haya nyiee wasomi mwafanya nini huku na sie walimu,na ndio tupo hapa 24/7 ni mwendo wa division 5 kwenda mbele kwani tunadaiwaaaaa?mxeeeeeew mkafie uturn hukooo

Hahahahaaaaa that's my brenda18 bwana.
 
Last edited by a moderator:
anaye ni ignore huyu....... ku ignore mchezo
kuita wengine Pathetic uliona sawa.. we umeambiwa
ur act was pathetic umepanik..

Hahahahah wewe mie nipanik na fake ID si ntapagawaaa,sina habareeee naona unavyojiquotishaaa,bibie mie jf ni kutoa stress siwezi kujistress na mambo ya humu twendeee endelea kujibu we si ndio umeanzaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom