Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!


Sababu haswa ilikuwa nini huyu mama kukuchukia, kama unaweza kumbuka na ku share na sisi - samahani kwa kuuliza swali nimejikuta tu...
 
To me cha kwanza ni dini
Then mengine inategemea na nani anakuja,sipendi jiwekea high expectations wakati Mungu alonpangia haendani na matarajio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini sasa kilikufanya uachane Na hao ulio date nao awali
Kiasi kwamba nao uko lonely!

DJ sepetu
 
Reactions: SDG
Nini sasa kilikufanya uachane Na hao ulio date nao awali
Kiasi kwamba nao uko lonely!

DJ sepetu
Wa kwanza nlimuacha sababu alinidanganya kwamba ye muislam while sio..nlifanya ka-uchunguzi kangu na nkamuacha!!! Siwezi kuvimilia mahusiano na asiekua wa dini yangu.

Huyu mwngine..sijui hata nsemeje,,!
Siwezi mwita Malaya cos sikuwahi mhisi wala mkamata,ila naona hayupo serious..kwake yeye bado ana mda wa kucheza na ujana..,nlimwambia kazungukee ukiwa tayari kua na mm utarudi ila at the same time sikusubiriii nkipata mwingine na-move on... (Ndo nipo hapa kidagaa kinanchachiaaa,(kidding)[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…