byongo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 827
- 1,945
Heheheheh...Ukiwa wewe ni mtoto wa kiislam na unajua dini, je huna kinyongo mumeo kuja kuolewa mke wa pili? Au wewe uolewe mke wa pili?
Hakuna mwanamke anapendelea mumewe aoe mke mwngine...na mume akiamua kuoa huwezi mzuia..
Kuongeza mke ni ruhusa Mungu alishawapa,nitake nisitake,nipende nisipendw ishakua hvo...
Mm kuolewa mke wa pili labda kwa situation kati ya hzi mbili
Moja,labda umri uende niwe sijaolewa
Pili,kwa sa hvi labda awe lipapaa (awe na HELA)...,otherwise ntazifuta hzo hela na kijana mwenzangu.
Sent using Jamii Forums mobile app