byongo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 827
- 1,945
MaldivesIf you could travel anywhere where would you so and why
DJ sepetu
Napenda tembelea sana ufukweni...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MaldivesIf you could travel anywhere where would you so and why
DJ sepetu
Sina churaTry to be flexible please......
Kama ulikubali kufanyiwa usahili humu, jaribu kujizuwia kuhamaki
Of course mchuchu...![emoji2]Ukiwa ktk fukwe unapendelea nani awe karibu yk
DJ sepetu
Interview yako very soon!! cc muosha rungu
Katika mahusiano unapenda mwanaume akupende kwa lipi!?Sina chura
Natembea natikisa mabega na mgongo..
Hayaa mmeongezeka kilo ngapi kwa hili jibu?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ulishawahi kufanya sex with and whithout protection kwako binafsi ni ipi una enjoy zaidi?
Sio lazima kujibu kile unacho ulizwa, ingawa kimsingi hilo swali la chura limekaa kikushoto, lakini ulipaswa kulijibu politely ama kulipuuza.Sina chura
Natembea natikisa mabega na mgongo..
Hayaa mmeongezeka kilo ngapi kwa hili jibu?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Me beach navaaga kawaida yan naweza vaa gauni na mtandio (siogeleagi)[emoji23] [emoji23] Na utapenda kuvalia nn!
DJ sepetu
Una mume au mchumba!
DJ sepetu
Una mume au mchumba!
DJ sepetu
Maswali kama haya yanaongeza tija....
[emoji122] [emoji122]Sio lazima kujibu kile unacho ulizwa, ingawa kimsingi hilo swali la chura limekaa kikushoto, lakini ulipaswa kulijibu politely ama kulipuuza.
Hapa hakuna mwenye kuhitaji kuujua undani wako, zaidi ni kujifurahisha na kuona upeo wako wa kufikiri.
Don't panic bhana
Me mwanaume anipende tu na kunijali...Katika mahusiano unapenda mwanaume akupende kwa lipi!?
Nn silaha yako kuu ktk mahusiano
DJ sepetu
Jibu zuri sana....
I dont do any of those.. (Hopefully no further questions on this)Nadhani ulishawahi kufanya sex with and whithout protection kwako binafsi ni ipi una enjoy zaidi?
Asante byongo nakutakia siku njemaI dont do any of those.. (Hopefully no further questions on this)
Sent using Jamii Forums mobile app
1.HappynessPoa!
If you could keep five possessions only what would they be and why
DJ sepetu