Mrembo byongo live on muosha rungu TV show!

Ukiwa wewe ni mtoto wa kiislam na unajua dini, je huna kinyongo mumeo kuja kuolewa mke wa pili? Au wewe uolewe mke wa pili?
Heheheheh...
Hakuna mwanamke anapendelea mumewe aoe mke mwngine...na mume akiamua kuoa huwezi mzuia..
Kuongeza mke ni ruhusa Mungu alishawapa,nitake nisitake,nipende nisipendw ishakua hvo...

Mm kuolewa mke wa pili labda kwa situation kati ya hzi mbili

Moja,labda umri uende niwe sijaolewa

Pili,kwa sa hvi labda awe lipapaa (awe na HELA)...,otherwise ntazifuta hzo hela na kijana mwenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ukiwa kama msichana uliekamilika na una hisia, kama ulivyosema ushawahi kudate, je kwakipindi hiki huna uhusiano unakidhi vipi hisia zako?
 
oyooo yani sijasoma kote nimenusa hela .. hongera bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…