Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakosa mwanaume/wanaumeWewe ni mwanamke uliyetimia
Unakosaje mwanaume!
DJ sepetu
Nkiona misimamo yangu hairandani na ya mwanaume nakupisha uendelee na system yako ya maisha.Why you breakup!?
How many
DJ sepetu
Hapa wengi watapataka
Who is an eligible husband to youNkiona misimamo yangu hairandani na ya mwanaume nakupisha uendelee na system yako ya maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee NEGATIVE
Nna jirani alikua ananchukia sana,alidiriki hadi kumwambia mama yangu that angekua na uwezo angenihamisha pale nyumbn kwa asivo nipenda
Ikafika point nkimsalimia hajibu
Sema nliendelea msalimia kwa heshma tu ya wazazi wangu,,,Ila yule mama jamn (na ni mtu mzima sa hvi ana miaka almost 5 tangu astaafu)
Sent using Jamii Forums mobile app
To me cha kwanza ni diniWho is an eligible husband to you
Which criteria mume anatakiwa awe nazo kwako?
DJ sepetu
Nikimuongelea tu huyu mama ntabadili thread iwe ya kidini.Sababu haswa ilikuwa nini huyu mama kukuchukia, kama unaweza kumbuka na ku share na sisi - samahani kwa kuuliza swali nimejikuta tu...
Nini sasa kilikufanya uachane Na hao ulio date nao awaliTo me cha kwanza ni dini
Then mengine inategemea na nani anakuja,sipendi jiwekea high expectations wakati Mungu alonpangia haendani na matarajio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimuongelea tu huyu mama ntabadili thread iwe ya kidini.
Tuachane nae!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwanza nlimuacha sababu alinidanganya kwamba ye muislam while sio..nlifanya ka-uchunguzi kangu na nkamuacha!!! Siwezi kuvimilia mahusiano na asiekua wa dini yangu.Nini sasa kilikufanya uachane Na hao ulio date nao awali
Kiasi kwamba nao uko lonely!
DJ sepetu
Najivunia kua binti wa kiislam msomiWhat do you feel most proud of
DJ sepetu
Hongera!Najivunia kua binti wa kiislam msomi
Aisee I'm so proud of that..
Sent using Jamii Forums mobile app