Kwa hiyo miss world atatuwakilisha yupi kati ya hawa wawili?Huyu yuko kwenye mchakato mwingine kabisa wa Miss Africa, alishiriki Miss Tanzania lakini nilisikia alianguka jukwaani na kushindwa kuendelea na mchakato, kumbe nyota yake ilikuwa inawaka upande mwingine.
Meno yamepandana yatamkatia points.
Kwani wewe kwa mme wako si ulijiuza kwa kuletewa mahari baba yako/mama/ukoo! Ni kujiuza kulikohalalishwa na jamii! Uliuzwa kwa mahari kwa vile una KK.UU.MM.AA., like wise, hawa wanafanya kwa vile wana KKK.UUU.MMM.AAA. Kiunganishi ni hicho ila mnafanya kwa njia tofautiTetea ujinga tu.
Wewe inaonesha haa dada'ko akijiweka wazi na kujiuza utamsifia tu. Mpo wengi mlioathirika na umagharibi msiokuwa nao.
Sikiliza hii:
Hivi bila matusi huwezi kuishi?????.....Kwani wewe kwa mme wako si ulijiuza kwa kuletewa mahari baba yako/mama/ukoo! Ni kujiuza kulikohalalishwa na jamii! Uliuzwa kwa mahari kwa vile una KK.UU.MM.AA., like wise, hawa wanafanya kwa vile wana KKK.UUU.MMM.AAA. Kiunganishi ni hicho ila mnafanya kwa njia tofauti
Kwani wewe kwa mme wako si ulijiuza kwa kuletewa mahari baba yako/mama/ukoo! Ni kujiuza kulikohalalishwa na jamii! Uliuzwa kwa mahari kwa vile una KK.UU.MM.AA., like wise, hawa wanafanya kwa vile wana KKK.UUU.MMM.AAA. Kiunganishi ni hicho ila mnafanya kwa njia tofauti
Hivi bila matusi huwezi kuishi?????.....
Unaweza kumtukana mtu mwenye uwezo wa kukuzalia mama yako bila kujua...
Kuwa na heshima kwa watu usiowajua kijana[/QUOTE
Sijatukana, yeye amewadhalilisha wanawake ,mimi nikampa alternative thinking. Najua watu hamtaki wider thinking, thinking out of the Pandora box. We are all product of sex but procured by differing ways! Sijamtukana katu, nimejaribu kumuonyesha kuwa we are not exceptions!
Nimekumissunatabasamu tamu.. haya katuwakilishe vizuri
baada ya sikukuu ndiyo unanimiss?Nimekumiss
Kwangu kila siku ni sikukuu. wasiwasi wako ni niniii?baada ya sikukuu ndiyo unanimiss?
Na kwako pia mchumba ulienikataa. ila mie bado nakupendaMerry Christmas mkuu.
huna pesaKwangu kila siku ni sikukuu. wasiwasi wako ni niniii?
Pesa iko mingi mingi ni wewe tu.huna pesa
basi hujui kutumia pesa .. nitakujaPesa iko mingi mingi ni wewe tu.
usije mwenyewe uje na mwenzakobasi hujui kutumia pesa .. nitakuja
nitakuja na team ..usije mwenyewe uje na mwenzako