Mrembo Julitha Kabete

Mrembo Julitha Kabete

Huyu yuko kwenye mchakato mwingine kabisa wa Miss Africa, alishiriki Miss Tanzania lakini nilisikia alianguka jukwaani na kushindwa kuendelea na mchakato, kumbe nyota yake ilikuwa inawaka upande mwingine.
Alishirikii akawa wa nne kama sikosei
 
Back
Top Bottom